Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
it takes a cistern that can be made with a shovel and perhaps setting liner stones as is often done in a modern septic field.
inahitaji mtungi au tanki ambalo linaweza kutengenezwa kwa beleshi nap engine kuweka matofali ya uzio kama inavyofanya kwenye sehemu za kisasa za maji-taka.
in severe cases, patients quickly progressed to develop acute respiratory syndrome, septic shock, metabolic acidosis, and coagulopathy.
katika hali mbaya zaidi, wagonjwa waliendelea kuwa na matatizo mabaya ya kupumua, hali inayosababisha viungo vya mwili kutofanya kazi, asidi nyingi mno mwilini na hali ya damu kushindwa kuganda.
the restaurant, the most high end of the half dozen or so ethiopian restaurants within 500 meters, sits at the intersection of ggaba road and tank hill road.
mgahawa, upo upande wa juu wa kiasi cha nusu dazeni au zaidi kidogo ya mighahawa ya ki-ethiopia ndani ya kiasi cha mita 500, ipo katikati ya makutano ya barabara ya ggaba na ile ya tank hill.
capping this and drawing of the produced gas into a holding tank is simple and usage after that needs again fairly minimalist hardware that can be jury-rigged together.
kufunika na kunyonya gesi iliyotengenezwa kwenda kwenye mtungi wa kuhifadhia ni rahisi na matumizi baada ya hapo yanahitaji vifaa vichache vya kuokoteza.
from venturing into pay tv,insurance…a story is told in kenya of how a kenyan was robbed off his billion dollar idea that is todays mpesa.the brain child/think tank is said to have approached safaricom executives who turned him away saying his idea couldn’t be done only for them to launch the service a few months later.thats the story on every kenyan lips.however,a new book reveals that a senior vodafone employee conceived m-pesa in 2003.
wakenya ni kama hawafaidiki na ubunifu wa m-pesa ambao ndio unaiweka kenya kwenye ramani ya dunia kama kituo cha ubunifu. ....ukiwa na mpesa, faragha yako hailindiw.