Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
peace and serenity
amani na utulivu
Última actualización: 2021-12-14
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
indeed the virtuous are in serenity.
hakika watu wema bila ya shaka watakuwa katika neema.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
he is therefore in the desired serenity.
basi yeye atakuwa katika maisha ya kupendeza,
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
many a face will be in serenity on that day.
siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
you will recognise the freshness of serenity on their faces.
utatambua katika nyuso zao mng'aro wa neema,
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
indeed for the pious, with their lord, are gardens of serenity.
hakika wachamngu watakuwa na bustani za neema kwa mola wao mlezi.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
and when you look towards it, you will see serenity and a great kingdom.
na utakapo yaona, utakuwa umeona neema na ufalme mkubwa.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
does every man among them aspire to be admitted into the garden of serenity?
kwani kila mmoja wao anatumai kuingizwa katika pepo ya neema?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
indeed those who believed and did good deeds – for them are gardens of serenity.
hakika walio amini na wakatenda mema watakuwa nazo bustani za neema.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
he knew what was in their hearts, and sent down serenity upon them, and rewarded them with an imminent conquest.
basi akateremsha utulivu juu yao, na akawalipa kwa ushindi wa karibu.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
then god sent down his serenity upon his messenger, and upon the believers; and he sent down troops you did not see; and he punished those who disbelieved.
kisha mwenyezi mungu akateremsha utulivu wake juu ya mtume wake na juu ya waumini. na akateremsha majeshi ambayo hamkuyaona, na akawaadhibu wale walio kufuru.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
“the one who has, by his munificence, established us in a place of serenity; in which no hardship shall ever reach us nor any fatigue affect us.”
ambaye kwa fadhila yake ametuweka makao ya kukaa daima; humu haitugusi taabu wala humu hakutugusi kuchoka.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
those who disbelieved filled their hearts with rage—the rage of the days of ignorance. but god sent his serenity down upon his messenger, and upon the believers, and imposed on them the words of righteousness—of which they were most worthy and deserving.
pale walio kufuru walipo tia katika nyoyo zao hasira, hasira za kijinga, mwenyezi mungu aliteremsha utulivu juu ya mtume wake na juu ya waumini, na akawalazimisha neno la kuchamngu. na wao walikuwa ndio wenye haki nalo na wenye kustahili.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: