Usted buscó: tyranny (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

tyranny

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

it is humiliation and tyranny.

Suajili

ni unyanyasaji na uimla.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and those who, when tyranny strikes them, they defend themselves,

Suajili

na ambao wanapo fanyiwa jeuri hujitetea.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

that which allah has sent down to you will surely increase the tyranny and disbelief of many of them.

Suajili

kwa yakini yaliyo teremshwa kwako kutoka kwa mola wako mlezi yatawazidisha wengi katika wao uasi na kufuru.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

but there were certain men from mankind who would take refuge with certain males from the jinn and they increased them in tyranny.

Suajili

na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

after many moons of tyranny, yesterday marked the end of a reign of power barely 60 days shy of nine years, pakistan turns over a new leaf.

Suajili

baada ya miezi mingi ya utawala wa mabavu, hivi majuzi kulitokea tukio la kumaliza utawala uliodumu muda wa miaka tisa kasoro siku sitini, na hapa pakistani inafungua ukurasa mpya.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

say: he is able to send punishment upon you from above you or from beneath your feet, or to bewilder you with dissension and make you taste the tyranny one of another.

Suajili

sema: yeye ndiye muweza wa kukuleteeni adhabu kutoka juu yenu au kutoka chini ya miguu yenu, au kukuleteeni fujo la mfarakano, na kuwaonjesha baadhi yenu jeuri ya wenzao.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

worse than that, he expressed nothing but admiration for fidel castro and his noxiously racist tyranny, and never stopped singing fidel’s praises.

Suajili

mbaya zaidi, alitoa pongezi kwa fidel castro pamoja na vita yake kwa ubaguzi wa rangi, lakini kamwe hakuacha kuimba sifa za fidel.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

we must also remember that lonely struggle taking place in a heavily guarded compound in rangoon is part of the much larger struggle, worldwide, for the emancipation of the human spirit from political tyranny and psychological subjection.

Suajili

pia tukumbuke kwamba, mapambano yake akiwa katika upweke wake huku akiwa chini ya ulinzi mkali katika makazi yake ya huko rangoon ni sehemu ya mapambano mapana zaidi, ulimwengu kote, katika kutafuta kuikomboa roho ya kibinadamu kutoka katika tawala za kimabavu za kisiasa na manyanyaso ya kisaikolojia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

we revealed to the children of israel in the book: ‘twice you will cause corruption on the earth, and you will perpetrate great tyranny.’

Suajili

na tukawahukumia wana wa israili katika kitabu kwamba: hakika nyinyi mtafanya fisadi katika nchi mara mbili, na kwa yakini mtapanda kiburi, kiburi kikubwa.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

the building of roads, universities, more schools and health facilities come to mean nothing if the citizens are enslaved by political tyranny that refuses to hand them a constitution meant to unleash their full liberties and broaden opportunities for citizens, regardless of their geographical position on the global map.

Suajili

ujenzi wa barabara, vyuo vikuu, shule zaidi na huduma za afya hazitakuwa na maana yoyote kama raia wanakuwa mateka wa utawala wa kisiasa unaokataa kuwapatia yenye maana ya kuwapatia uhuru wao kamili na fursa pana kwa raia, bila kujali waliko kijiografia katika ramani ya dunia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

and we made the children of israel to pass through the sea, then firon and his hosts followed them for oppression and tyranny; until when drowning overtook him, he said: i believe that there is no god but he in whom the children of israel believe and i am of those who submit.

Suajili

tukawavusha bahari wana wa israili, na firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui. hata firauni alipo kuwa anataka kuzama akasema: naamini kuwa hapana mungu ila yule waliye muamini wana wa israili, na mimi ni miongoni mwa walio nyenyekea!

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,747,322,102 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo