Usted buscó: urinary tract infection (Inglés - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

English

Swahili

Información

English

urinary tract infection

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

lower respiratory tract infection (lrti)

Suajili

maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

only a few immunocompromised patients exhibited severe lower respiratory tract infection.

Suajili

wagonjwa wachache pekee ambao kinga zao za mwili ni dhaifu ndio walioonyesha maambukizi kali ya sehemu ya chini ya njia ya kupumua.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

most of these have involved serious respiratory tract infections.

Suajili

virusi vingi vimehusisha maambukizo kali ya ya mfumo wa kupumua.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

in humans, coronaviruses cause respiratory tract infections that can range from mild to lethal.

Suajili

kwa binadamu, virusi vya korona husababisha maambikizo ya njia ya pumu yanayoweza kuwa ya wastani au mbaya zaidi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

the first hcov-229e strain was isolated from the respiratory tract of patients with upper respiratory tract infection in the year of 1966, and was subsequently adapted to grow in wi-38 lung cell lines.

Suajili

aina ya kwanza ya hcov-229e ilitolewa kwa njia ya kupumua ya wagonjwa waliokuwa na maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya kupumua katika mwaka wa 1966, na baadaye iliendelea kukua katika mikondo ya seli za mapafu ya wi-38.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

evidence to date is that ca 80% of individuals with covid-19 have a mild disease, i.e. a respiratory tract infection with or without pneumonia, and most of these recover.

Suajili

ushahidi uliopo hadi sasa ni kwamba 80% ya watu walio na covid-19 wana hali ya wastani ya ugonjwa, yaani maambukizi ya njia ya pumu au bila nimonia na wengi wao walipona.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

world health organization declared the ongoing outbreak of lower respiratory tract infection caused by sars-cov-2 a public health emergency of international concern and also named the disease covid-19.

Suajili

shirika la afya duniani lilitangaza mkurupuko unaoendelea wa maambukizi ya njia ya chini ya kupumua unaosababishwa na sars-cov-2 kuwa dharura ya afya ya umma ya wasiwasi wa kimataifa na pia likaupa jina ugonjwa huu kuwa covid-19.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

to provide virological evidence on the presence and extent of undetected community transmission of covid-19 and monitor positivity rates among individuals presenting ili or acute respiratory tract infections to primary care

Suajili

kutoa ushahidi wa kivairolojia kuhusu kuwepo na kiwango cha maambukizi ya covid-19 ambayo hayajagunduliwa katika jamii na kufuatilia viwango vya visa vya maambukizi miongoni mwa watu wanaoonyesha ili au maambukizi mabaya ya njia ya pumu kwa tiba ya kimsingi

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

all these four community-acquired hcovs have been well adapted to humans and are generally less likely to mutate to cause highly pathogenic diseases, though accidents did occur for unknown reasons as in the rare case of a more virulent subtype of hcov-nl63, which has recently been reported to cause severe lower respiratory tract infection in china.

Suajili

virusi hivi vyote vya hcov vinavyosambazwa kijamii vimepata njia ya kukaa ndani ya binadamu vyema na vina uwezekano mdogo wa kubadilika ili kusabaisha ugonjwa wa virusi, ingawa ajali zilitokea kwa sababu zisizojulikana kama ilivyo katika visa nadra vya aina ndogo yenye virusi zaidi ya hcov-nl63, ambavyo hivi majuzi viliripotiwa kusababisha maambukizi kali ya sehemu ya chini ya njia ya kupumua nchini china.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

(2) extension of current virological surveillance and testing people with influenza-like illness or lower respiratory tract infections (lrti)—with the caveat that people suspected to have or who have been exposed to covid-19 should be referred to the national containment pathway and not seen in primary care.

Suajili

(2) kuendelezwa kwa uchunguzi wa sasa wa kivirolojia na kupima watu walio na ugonjwa unaofanana na homa ya mafua au maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)—kwa tahadhari kwamba watu wanashukiwa kuwa au ambao wamekuwa hatarini kupata covid-19 wanapaswa kupaswa kupelekwa katika vituo vya kidhibiti vya kitaifa badala ya kupewa tiba ya kimsingi.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,793,234,212 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo