Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
condelector enim legi dei secundum interiorem homine
ndani kabisa katika moyo wangu naifurahia sheria ya mungu.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
arbitramur enim iustificari hominem per fidem sine operibus legi
maana mtu hukubaliwa kuwa mwadilifu kwa imani, wala si kwa kutimiza matakwa ya sheria.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ego enim per legem legi mortuus sum ut deo vivam christo confixus sum cruc
maana, kuhusu sheria hiyo, mimi nimekufa; sheria yenyewe iliniua, nipate kuishi kwa ajili ya mungu. mimi nimeuawa pamoja na kristo msalabani,
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
quoniam sapientia carnis inimicitia est in deum legi enim dei non subicitur nec enim potes
maana, mwenye kutawaliwa na fikira za mwili ni adui wa mungu; haitii sheria ya mungu, wala hawezi kuitii.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
adcurrens autem philippus audivit illum legentem esaiam prophetam et dixit putasne intellegis quae legi
filipo akakimbilia karibu na gari, akamsikia huyo mtu akisoma katika kitabu cha nabii isaya. hapo filipo akamwuliza, "je, unaelewa hayo unayosoma?"
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
gratia dei per iesum christum dominum nostrum igitur ego ipse mente servio legi dei carne autem legi peccat
shukrani kwa mungu afanyaye hayo kwa njia ya bwana wetu yesu kristo! hii basi, ndiyo hali yangu: mimi binafsi, kwa akili yangu, ninaitumikia sheria ya dhambi.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
at illi cum audissent magnificabant deum dixeruntque ei vides frater quot milia sint in iudaeis qui crediderunt et omnes aemulatores sunt legi
waliposikia hayo, walimtukuza mungu. kisha wakamwambia paulo, "ndugu, unaweza kuona kwamba kuna maelfu ya wayahudi ambao sasa wamekuwa waumini na wote hao wanashika kwa makini sheria ya mose.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
nolite detrahere de alterutrum fratres qui detrahit fratri aut qui iudicat fratrem suum detrahit legi et iudicat legem si autem iudicas legem non es factor legis sed iude
ndugu, msilaumiane ninyi kwa ninyi. anayemlaumu ndugu yake na kumhukumu, huyo huilaumu na kuihukumu sheria. kama ukiihukumu sheria, basi, wewe huitii sheria, bali waihukumu.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad: