Usted buscó: spiritus (Latín - Suajili)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Latin

Swahili

Información

Latin

spiritus

Swahili

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Latín

Suajili

Información

Latín

et spiritus prophetarum prophetis subiecti sun

Suajili

kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu ni lazima kitawaliwe na huyo mwenye hicho kipaji.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

et exultavit spiritus meus in deo salutari me

Suajili

"moyo wangu wamtukuza bwana, roho yangu inafurahi kwa sababu ya mungu mwokozi wangu.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

dicebat enim illi exi spiritus inmunde ab homin

Suajili

(alisema hivyo kwa kuwa yesu alikuwa amemwambia, "pepo mchafu, mtoke mtu huyu.")

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

quomodo non magis ministratio spiritus erit in glori

Suajili

basi, huduma ya roho ina utukufu mkuu zaidi.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

qui habet aurem audiat quid spiritus dicat ecclesii

Suajili

"aliye na masikio, basi, na ayasikie yale roho anayoyaambia makanisa!

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 4
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

nam prudentia carnis mors prudentia autem spiritus vita et pa

Suajili

fikira za mwili huleta kifo; fikira za roho huleta uzima na amani.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

nescitis quia templum dei estis et spiritus dei habitat in vobi

Suajili

je, hamjui kwamba ninyi ni hekalu la mungu, na kwamba roho wa mungu anakaa ndani yenu?

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

dominus autem spiritus est ubi autem spiritus domini ibi liberta

Suajili

hapa "bwana" ni roho; na pale alipo roho wa bwana ndipo ulipo uhuru.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

dixit autem spiritus philippo accede et adiunge te ad currum istu

Suajili

basi, roho mtakatifu akamwambia filipo, "nenda karibu na gari hilo ukafuatane nalo."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

et deprecabantur eum spiritus dicentes mitte nos in porcos ut in eos introeamu

Suajili

basi, hao pepo wakamsihi, "utupeleke kwa hao nguruwe, tuwaingie."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

haec autem omnia operatur unus atque idem spiritus dividens singulis prout vul

Suajili

hizo zote ni kazi za roho huyohuyo mmoja, ambaye humpa kila mtu kipaji tofauti, kama apendavyo mwenyewe.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

aut putatis quia inaniter scriptura dicat ad invidiam concupiscit spiritus qui inhabitat in nobi

Suajili

msifikiri kwamba maandiko matakatifu yamesema maneno ya bure, yanaposema: "roho ambaye mungu amemweka ndani yetu ana wivu mkubwa."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

et ad angelos quidem dicit qui facit angelos suos spiritus et ministros suos flammam igni

Suajili

lakini kuhusu malaika, mungu alisema: "mungu awafanya malaika wake kuwa pepo, na watumishi wake kuwa ndimi za moto."

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

adhuc loquente petro verba haec cecidit spiritus sanctus super omnes qui audiebant verbu

Suajili

wakati petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, roho mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

cum autem inmundus spiritus exierit ab homine ambulat per loca arida quaerens requiem et non inveni

Suajili

"pepo mchafu akifukuzwa kwa mtu, huzururazurura jangwani akitafuta mahali pa kupumzika asipate.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Latín

carissimi nolite omni spiritui credere sed probate spiritus si ex deo sint quoniam multi pseudoprophetae exierunt in mundu

Suajili

wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana roho wa mungu, bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na roho wa mungu au la, maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

caro enim concupiscit adversus spiritum spiritus autem adversus carnem haec enim invicem adversantur ut non quaecumque vultis illa faciati

Suajili

maana, tamaa za kidunia hupingana na matakwa ya roho; na matakwa ya roho hupingana na tamaa za kidunia. mambo hayo mawili hayaafikiani; kwa sababu hiyo hamwezi kufanya yale mnayotaka ninyi wenyewe.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Latín

et ecce homo erat in hierusalem cui nomen symeon et homo iste iustus et timoratus expectans consolationem israhel et spiritus sanctus erat in e

Suajili

wakati huo huko yerusalemu kulikuwa na mtu mmoja, mwema na mcha mungu, jina lake simeoni. yeye alikuwa akitazamia kwa hamu ukombozi wa israeli. roho mtakatifu alikuwa pamoja naye.

Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,792,609,046 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo