Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
quaerebant ergo eum adprehendere et nemo misit in illum manus quia nondum venerat hora eiu
basi, watu wakataka kumtia nguvuni, lakini hakuna mtu aliyethubutu kumkamata kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
nondum enim in quemquam illorum venerat sed baptizati tantum erant in nomine domini ies
maana wakati huo roho mtakatifu hakuwa ameshukia yeyote kati yao; walikuwa wamebatizwa tu kwa jina la bwana yesu.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
haec verba locutus est in gazofilacio docens in templo et nemo adprehendit eum quia necdum venerat hora eiu
yesu alisema maneno hayo kwenye chumba cha hazina alipokuwa anafundisha hekaluni. wala hakuna mtu aliyemtia nguvuni, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
et cum ascendissent navem venerunt trans mare in capharnaum et tenebrae iam factae erant et non venerat ad eos iesu
wakapanda mashua ili wavuke kwenda kafarnaumu. giza lilikuwa limeingia, na yesu alikuwa hajawafikia bado.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
venit autem et nicodemus qui venerat ad iesum nocte primum ferens mixturam murrae et aloes quasi libras centu
naye nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
et surgens abiit et ecce vir aethiops eunuchus potens candacis reginae aethiopum qui erat super omnes gazas eius venerat adorare in hierusale
basi, filipo akajiweka tayari, akaanza safari. wakati huohuo kulikuwa na mwethiopia mmoja, towashi, ambaye alikuwa anasafiri kuelekea nyumbani. huyo mtu alikuwa ofisa maarufu wa hazina ya kandake, malkia wa ethiopia. alikuwa amekwenda huko yerusalemu kuabudu na wakati huo alikuwa anarudi akiwa amepanda gari la kukokotwa.
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
et inveniens quendam iudaeum nomine aquilam ponticum genere qui nuper venerat ab italia et priscillam uxorem eius eo quod praecepisset claudius discedere omnes iudaeos a roma accessit ad eo
huko korintho, alimkuta myahudi mmoja aitwaye akula, mzaliwa wa ponto. akula pamoja na mkewe aitwaye priskila, walikuwa wamerudi kutoka italia siku hizohizo kwa sababu kaisari klaudio alikuwa ameamuru wayahudi wote waondoke roma. paulo alikwenda kuwaona,
Última actualización: 2012-05-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad: