Usted buscó: mzuri (Suajili - Chino (Simplificado))

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Chino (Simplificado)

Información

Suajili

mzuri

Chino (Simplificado)

良好

Última actualización: 2017-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mimi ni mzuri

Chino (Simplificado)

chinese

Última actualización: 2024-02-23
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mwenendo wenu ulikuwa mzuri! nani, basi aliyewazuia kuuzingatia ukweli?

Chino (Simplificado)

你 們 向 來 跑 得 好 . 有 誰 攔 阻 你 們 、 叫 你 們 不 順 從 真 理 呢

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa hiyo ninyi mmekuwa mfano mzuri kwa waumini wote wa makedonia na akaya.

Chino (Simplificado)

甚 至 你 們 作 了 馬 其 頓 和 亞 該 亞 、 所 有 信 主 之 人 的 榜 樣

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.

Chino (Simplificado)

有理智的人们啊!你们在抵罪律中获得生命,(以此为制),以便你们敬畏。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mose alizaliwa wakati huo. alikuwa mtoto mzuri sana. alilelewa nyumbani kwa muda wa miezi mitatu,

Chino (Simplificado)

那 時 、 摩 西 生 下 來 、 俊 美 非 凡 、 在 他 父 親 家 裡 撫 養 了 三 個 月

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri.

Chino (Simplificado)

以便他警告世人,真主要降下严厉的惩罚;并预告行善的信士们,他们得受优美的报酬,

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

maana wasaidizi wanaofanya kazi yao vizuri hujipatia msimamo mzuri, na wanaweza kusema bila hofu juu ya imani yao katika kristo yesu.

Chino (Simplificado)

因 為 善 作 執 事 的 、 自 己 就 得 到 美 好 的 地 步 、 並 且 在 基 督 耶 穌 裡 的 真 道 上 大 有 膽 量

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mkimkopesha mwenyezi mungu mkopo mzuri, atakuzidishieni mardufu, na atakusameheni. na mwenyezi mungu ni mwingi wa shukra, mpole.

Chino (Simplificado)

如果你们以善债借给真主,他将加倍偿还你们,而且赦宥你们。真主是善报的,是至容的。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ninyi mnaweza kushuhudia, na mungu pia ni shahidi, jinsi mwenendo wetu kati yenu ninyi mnaoamini ulivyokuwa mzuri, mwadilifu na usio na lawama.

Chino (Simplificado)

我 們 向 你 們 信 主 的 人 、 是 何 等 聖 潔 、 公 義 、 無 可 指 摘 、 有 你 們 作 見 證 、 也 有   神 作 見 證

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hebu hukuona vipi mwenyezi mungu alivyo piga mfano wa neno zuri? ni kama mti mzuri, mizizi yake ni imara, na matawi yake yako mbinguni.

Chino (Simplificado)

难道你不知道真主有过这样一个比喻吗?一句良言,好比一棵优良的树,其根柢是深固的,其枝条高耸入云,

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

"ufanyeni mti kuwa mzuri na matunda yake yatakuwa mema; ufanyeni kuwa mbaya na matunda yake yatakuwa mabaya. mti hujulikana kwa matunda yake.

Chino (Simplificado)

你 們 或 以 為 樹 好 、 果 子 也 好 . 樹 壞 、 果 子 也 壞 . 因 為 看 果 子 、 就 可 以 知 道 樹

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kwa yakini umekuwa mfano mzuri kwenu katika mwendo wao, kwa anaye mtarajia mwenyezi mungu na siku ya mwisho. na mwenye kugeuka basi hakika mwnyezi mungu ni mwenye kujitosha, msifiwa.

Chino (Simplificado)

易卜拉欣和他的教徒,对於你们希望会见真主和末日者,确是好模范。背叛者,无损於真主,因为真主确是无求的,确是可颂的。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ewe nabii! waambie wake zako: ikiwa mnataka maisha ya dunia na pambo lake, basi njooni, nitakupeni kitoka nyumba, na kukuacheni mwachano mzuri.

Chino (Simplificado)

先知啊!你对你的众妻说:如果你们欲得今世的生活与其装饰,那末,你们来吧!我将以离仪馈赠你们,我任你们依礼而离去。

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

basi, upepo mzuri wa kusi ulianza kuvuma, nao wakadhani wamefanikiwa lengo lao; hivyo wakang'oa nanga, wakaiendesha meli karibu sana na pwani ya krete.

Chino (Simplificado)

這 時 微 微 起 了 南 風 、 他 們 以 為 得 意 、 就 起 了 錨 、 貼 近 革 哩 底 行 去

Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hakika ilikuwapo ishara kwa (watu wa nchi ya) sabaa katika maskani yao - bustani mbili, kulia na kushoto. kuleni katika riziki ya mwenyezi mungu, na mumshukuru. mji mzuri na mola mlezi aliye msamehevu.

Chino (Simplificado)

賽伯邑族,在他們的居處,確有一種蹟象:兩個園圃,分列左右。「你們可以吃你們的主的給養,你們要感謝他。一個肥美的地方,一個至赦的主宰。」

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,790,561,744 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo