Usted buscó: mwanaume (Suajili - Francés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Francés

Información

Suajili

mwanaume

Francés

homme

Última actualización: 2015-06-02
Frecuencia de uso: 16
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mwanaume mwaminufu

Francés

mwanaume mwaminifu

Última actualización: 2022-03-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mwanaume anaweza sana

Francés

je t’aime tellement mon ami

Última actualización: 2024-05-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

upo wapi mwanaume wangu

Francés

upo wapi mwanaume wangu

Última actualización: 2020-12-01
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

asante ujana mwanaume.

Francés

merci jeune homme

Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mwanamke=mwanaume, chanzo: khodnevis

Francés

femme = homme, source: khodnevis

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kila mwanaume lazima ashiriki kampeni hii

Francés

chaque homme devrait prendre part à cette campagne. #menagainstrape

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mkono wa kushoto wa mwanaume, ameshika bunduki isiyo halisi.

Francés

dans sa main gauche, celui-ci tient un pistolet en plastique.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

je, mwanaume asiyeoa atapelekwa gerezani kwa kufanya mapenzi na mwanamke asiyeolewa?

Francés

un homme célibataire doit-il aller en prison pour avoir eu des rapports sexuels avec une femme célibataire ?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hivi tangu lini nguo wanazovaa wanawake ziwe chanzo cha matatizo kwa kila mwanaume duniani humu?

Francés

depuis quand les vêtements portés par les femmes sont devenus le centre des préoccupations de tous les hommes de la planète ? #menagainstrape

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hata hivyo, msichana huyo anapambana, na kwa bahati mbaya anafanikiwa kumwua mwanaume huyo.

Francés

mais alors qu'hirut se défend, elle tue l'homme accidentellement.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

na kilichofuata, mwanaume mkongwe na pia mwanamke mkongwe wanaongea na watu hao kwa hasira na huzuni tele.

Francés

un homme âgé suivi d'une femme âgée, en pleurs, les prennent à partie avec colère.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mwanaume wa miaka 18 anaweza kuonekana kama ni mvulana wa miaka 3, na anapaswa kubebwa na kusaidiwa kutoka nje ya nyumba ili angalau aweze kuota jua.

Francés

un homme de 18 ans peut avoir l’apparence d’un garçon de 3 ans et doit être porté et serré dans les bras pour que son corps se réchauffe.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ridhaa kama hiyo, ninaamini, ilitolewa na mahakimu wakiwa na imani kwamba mwanaume yule atamuangalia vyema msichana na msichana huyo atakua vizuri chini ya uangalizi wa mwanaume huyo.

Francés

je pense qu'une telle permission a été accordée par ces juges avec la certitude que l'homme était en mesure de prendre soin de la fille et que la fille grandirait convenablement avec les soins de cet homme.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mnamo 20 januari, kisa cha kwanza ya covid-19 ilithibitishwa katika jiji la pasifiki kaskazini magharibi ya washington katika mwanaume aliyekuwa amerudi kutoka wuhan mnamo 15 januari.

Francés

le 20 janvier, le premier cas connu de covid-19 a été confirmé dans le nord-ouest pacifique, dans l’État de washington, chez un homme rentré de wuhan le 15 janvier.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

"kama watu walio katika nchi hizo wanatujali, hawatavaa shati zilizo na picha za joseph kony kwa nia yoyote", alisema mwanaume mmoja aliyehojiwa.

Francés

"si les gens de ces pays s'intéressent à nous, ils ne porteront sous aucun prétexte des t-shirts avec le portrait de joseph kony," dit un homme interrogé.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

mwanaume aliyemteka -aliyeshindwa kupata ruhusa ya baba wa binti huyo ili aweze kumwoa -anatumia utekaji kama njia ya kulazimisha ndoa na msichana huyo kwa mujibu wa mila inayofahamika kama telefa nchini ethiopia.

Francés

son ravisseur — qui n'était pas parvenu à avoir la permission du père de la jeune fille d'épouser celle-ci — insiste pour l'épouser selon une tradition appelée telefa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaanza kwa picha ya kompyuta kwenye chumba, na wakati ardhi ilivyokuwa ikisogea mingurumo ya ardhi inaweza kusikika, halafu taa zilizimikana tunaachwa kwenye giza, na kusikia sauti pekee ya mwanamke na mwanaume ambaye tunadhani ndio aliyekuwa amebeba kamera akijaribu kumtuliza.

Francés

on peut y voir une chambre au moment de la secousse et écouter le grondement, puis les lumières s'éteignent, tout est noir, seules les voix d'une femme et d'un homme, certainement la personne tenant le caméscope, tentant de calmer cette dernière sont perceptibles.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

makala inamtaja mwanaume wa limpopo, ambaye hukumu yake ilipunguzwa kutoka kifungo cha maisha kuwa mwaka mmoja kwa kumbaa bintiye wa kambo mwenye umri wa miaka 15; kwa kufanya hivyo, jarida hilo likishindwa kulinda utambulisho wa wa mhanga wa ubakaji.

Francés

l'article nomme un homme de limpopo pour qui la sentence a été réduite de la prison en vie à 15 ans pour avoir violé sa belle-fille de 15 ans; et en faisant cela, il ont failli à protéger l'identité de la victime.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaonyesha mwanaume aliyevalia mavazi ya ki-saudi akivua kilemba chake, akimpiga mwanaume mwingine, mmisri, ndani ya msikiti wa al ferdous, baada ya mmisri huyo kupinga kulaaniwa kwa el-sisi.

Francés

on y voit un homme en robe saoudienne ôter son voile, le agal, et frapper un autre homme, un Égyptien, dans la mosquée al ferdous, quand celui-ci prend la défense du général al-sissi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,780,809,490 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo