Usted buscó: zinazohusiana (Suajili - Francés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

French

Información

Swahili

zinazohusiana

French

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Francés

Información

Suajili

habari zozote zinazohusiana na harakati za tiananmen bado zinazuiwa nchini china.

Francés

les autorités chinoises censurent encore toute information liée au mouvement de tian'anmen.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanahabari huyu amekuwa akiweka habari mpya zinazohusiana na kifo cha mutharika kwenye blogu yake.

Francés

elle a fait figurer sur son blog les informations relatives à la mort de m. mutharika.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hivi sasa katrina huandika makala mbalimbali zinazohusiana na haki na utetezi wa walio wachache katika jamii.

Francés

maintenant katrina écrit des articles engagés traitant des droits et de la protection des minorités.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wachapishaji wengi wa kisayansi waliandika karatasi za kisayansi zinazohusiana na mkurupuko kupatikana na uwezo huru wa ufikiaji.

Francés

de nombreux éditeurs scientifiques ont mis à disposition leurs articles scientifiques en lien avec l’épidémie en accès libre.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hii ni ya kwanza kabisa katika mfululizo wa makala ambazo zitavinjari mada zinazohusiana kwa kupitia macho ya wanablogu duniani kote.

Francés

ce billet est le premier d’une série qui a pour but d’examiner de tels sujets à travers les yeux des blogueurs dans le monde entier.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

shirika la kutetea haki za binadamu la amnesty international limeitaka pakistani kuzifanyia mabadiliko sheria zinazohusiana na kukashifu imani:

Francés

amnesty international presse le pakistan de réformer les lois sur le blasphème :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ukurasa wa facebook umeanzishwa ili kumwunga mkono mwanablogu huyo aliyefungwa, ukiwa na nakala ya barua zake na habari mpya zinazohusiana na hali yake.

Francés

une page facebook a été lancée pour soutenir le blogueur emprisonné, avec des copies de ses lettres et des nouvelles sur sa situation.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mradi huo unatumia mtandao wa twita kuposti habari zinazohusiana na ebola kila siku na kuratibu majadiliano yanayohusu virusi vya eloba kati ya wataalam na umma wa wananchi.

Francés

l'organisation se sert de twitter pour poster quotidiennement des informations sur le virus ebola et organise des chats sur ebola entre les experts et le public :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

akijaribu kuachana na utaratibu wa mtangulizi wake wa kuficha taarifa zake zinazohusiana na afya, msaidizi wake wa habari amos chanda alisema kwenye taarifa yake:

Francés

se démarquant de la pratique de son prédécesseur de ne pas parler de sa santé, son porte-parole m. amos chanda a déclaré dans un communiqué :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika habari zinazohusiana na hizi, jumuia ya msalaba mwekundu ya myanmar ilitoa tamko kupitia kwa waandishi wa habari ikikanusha uvumi kuwa inafadhili ofisi ya oic iliyoanzishwa kinyemela katika jingo lao.

Francés

sur le même sujet, la croix rouge du myanmar a publié un communiqué de presse qui dément les rumeurs d'installation d'un bureau secret de l'oic dans ses locaux.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika mwangaza wa hisia kali hivi sasa zinazohusiana na gaza, nimeghafirika sana tangu niliposoma nukuu ya abou ghazi inayosema kwamba kuna mauaji ya kinyama kila wakati yanayotokea huko afghanistan ambayo hakuna mmoja anayeyajali.

Francés

face à l'engouement actuel pour gaza, je suis très mal à l'aise depuis que j'ai lu une phrase d'abou ghazi disant que des massacres il y en a tout le temps notamment en afghanistan et que personne ou presque ne s'en émeut.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

vyombo vya habari vya serikali havikutangaza habari za maandamano hayo, na katika hali ya kushangaza wafuatiliaji wa mtandaoni wamefuta habari na picha zinazohusiana na maandamano hayo kwenye mtandao maarufu wa kijamii uitwao sina weibo tangu mei 4, 2013.

Francés

les médias officiels chinois n'ont fait aucune allusion à cette manifestation, et depuis le 4 mai les censeurs du web suppriment systématiquement toutes les informations et photos relatives à l'événement sur la plateforme de microblogging weibo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika blogu iliyoanzishwa na familia ya derakshan, edalat baraye hossein derakhshan(ikiwa na maana ya haki kwa ajili ya hossein derakshan) bado hakuna taarifa mpya zinazohusiana na taarifa hii.

Francés

sur le blog créé par la famille de hossein derakhshan, edalat baraye hossein derakhshan ('justice pour hossein derakhshan) il n'y pas encore d'information ou de mise à jour à ce sujet.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ace2 hukabiliana na shughuli zinazohusiana na kimeng'enya kinachogeuza angiotensin (ace) kwa kupunguza kiwango cha angiotensi-ii na kuongeza ang(1-7) kwa kuifanya iwe dawa nzuri ya kutibu magonjwa ya moyo. ace2 hutumika pia kama sehemu ya kuingia kwenye seli ya baadhi ya virusi vya korona.

Francés

l’ace2 contre l’activité de l’enzyme de conversion de l’angiotensine (ace) en réduisant la quantité d’angiotensine ii et en augmentant l’ang (1-7) ce qui fait d’elle une cible médicamenteuse prometteuse dans le traitement des maladies cardiovasculaires. l’ace2 est également le point d’entrée dans les cellules de certains coronavirus.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
8,045,595,845 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo