Usted buscó: diplomasia (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

diplomasia

Inglés

diplomacy

Última actualización: 2015-04-17
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

maoni ya mtembeleaji anayeitwa isat hayana diplomasia:

Inglés

a comment from a visitor called isat is less diplomatic:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

kujadili sheria, kujadili bajeti, kuamua kuhusu zoezi la uchaguzi na kutolewa kwa haki ya mpito na kubadilika kwa diplomasia.

Inglés

debating laws, debating a budget, deciding on an electoral process and transitional justice and changing diplomacy.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

wananchi wa uganda sasa hawana hakika nini kitatokea kuhusiana na diplomasia ya mahusiano ya nchi hiyo na nyingine, hususani magharibi, zinazoamini sheria hiyo inavunja haki za msingi za binadamu.

Inglés

ugandans now wonder what will happen to the relationship between their country and others, mostly western, that believe the law violates basic human rights.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

selvarasa pathmanathan, mkuu wa kitengo cha diplomasia cha ltte, alitoa tamko jumapili kuwa chui “tutanyamazisha bunduki zetu ili kuwanusuru watu wetu.”

Inglés

selvarasa pathmanathan, head of the ltte’s international diplomatic relations, released a statement on sunday announcing that the tigers will "silence our guns to save our people."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kanisa katoliki limefanya mengi na linaendelea kufanya lakini mengi zaidi bado yanapaswa kufanywa. hata hivyo, diplomasia hata kama ni nzuri katika namna yake, haitakiwi kutumika sana katika kanisa kwa sababu, beleshi ni lazima liitwe beleshi.

Inglés

the catholic church has done much and is still doing a lot but a lot more still has to be done.however, diplomacy though good in its own ways, must not be of too common usage in the church because, a spade must be called a spade.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

mkutano kati ya wanablogu wanaoongoza nchini urusi na balozi wa irani jijini moscow, siku tatu tu baada ya mwanablogu hossein derakshan kuhukumiwa kifungo cha miaka 19.5 jela kwa kile kilichoelezwa kuwa ni "kufanya propaganda zinazoipinga serikali" ulizionyesha wazi juhudi zisizoeleweka za diplomasia ya mtandaoni ya irani nchini urusi.

Inglés

the meeting of russia's top-bloggers with the iranian ambassador in moscow three days after hossein derakhshan had been sentenced to 19.5 years of imprisonment for "anti-government propaganda" highlighted the clumsy attempts of the iranian online diplomacy in russia.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,727,221,989 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo