Usted buscó: inaonekana kwamba haunipendi (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

inaonekana kwamba yako amechoka

Inglés

it seems like your tired

Última actualización: 2022-04-26
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaonekana kwamba hali hii imerudi tena.

Inglés

it seems that this is back on track.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaonekana kwamba siasa za kupakana matope zilikuwa zimekithiri.

Inglés

it seems that the mudslinging had gone overboard.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

nikisikia kuhusu dalili zako, inaonekana kwamba una mojawapo ya virusi vya homa ya mafua

Inglés

well madam from listening to your symptoms it sounds like you've got one of the flu viruses

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hata kabla hatujaingia vitani, inaonekana kwamba maisha ya wanawake tayari yamekuwa magumu.

Inglés

even before we embark on a war, it seems that the lives of women have already become more difficult.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaonekana kwamba kuna upungufu wa mambo mapya ya kisiasa yanayoibuliwa kwa wa-zambia siku hizi.

Inglés

it appears that there is no shortage of political revelations for zambians these days.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

lakini inaonekana kwamba miundo mbinu ya afya nchini madagaska haitaweza kuhimili mlipuko wa maradhi hayo kama utatokea.

Inglés

but it appears that the malagasy health infrastructures will not be able to cope if the disease spreads dramatically.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

zaidi ya hayo, inaonekana kwamba sehemu zile za mwili zinazoonekana kuwa ni dhaifu ndizo zilizo muhimu zaidi.

Inglés

nay, much more those members of the body, which seem to be more feeble, are necessary:

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

woga wa kupoteza kura za wapiga kura wahafidhina kwa siku za mbeleni, inaonekana kwamba wanasiasa wa mrengo wa kushoto waliona ni bora kubaki kimya.

Inglés

fearing to lose the future votes of the conservative electorate, it seems that leftist politicians have preferred to remain silent.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaonekana kwamba sababu rasmi ya kutiwa kizuizini kwa kezarovski kwa siku 30 ni habari aliyoiandika miaka mitano iliyopita kwa ajili ya jarida ambalo halipo tena.

Inglés

it appears that the official reason for kezarovski's 30-day detention is a story he wrote five years ago for a publication that no longer exists.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaonekana kwamba hakuna mtu alikuwa na ufahamu wa kuja kwetu basi akaunti ya sindano ikawa ndogo kuliko ilivyotarajiwa (109 katika siku moja).

Inglés

it appears that nobody was aware of our coming so the account of injections was lesser than expected (109 in one day).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

pamoja na kutoa uhuru huo, inaonekana kwamba siku za karibuni serikali inachukua hatua kali dhidi ya uinjilishaji, uwe ule wa waziwazi au unaodhaniwa kufanyika.

Inglés

despite guarantees of freedom, it would appear that the government is taking a stronger approach of late to proselytism, both real and perceived.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

aloysius agendia, mwanahabari ambaye pia ni mseminari wa zamani katika makala aliyoipa kichwa cha ziara ya papa benedikti wa xvi afrika: zaidi ya kauli za kiroho inaonekana kwamba angependa kanisa lipinge vitendo vya dola na vya wanasiasa ambavyo vinaharibu maslahi ya umma badala ya kuvivika majoho ya kidiplomasia:

Inglés

aloysius agendia, a journalist and ex-seminarian in a post entitled pope benedict xvi visit to africa : going beyond spiritual rhetoric seems to suggest that the church should denounce acts by states and politicains that harm the people's interest instead of being clothed in diplomatic robes:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

inaonekana kwamba wageni wengi katika youtube walikubaliana na alivyosema (mwanawe malkia), kwani takribani watazamaji milioni 2 waliangalia mlolongo huo wa video uliorushwa katika youtube; ambao ulijumisha pamoja na kanda zake mwenyewe, michango kutoka kwa wanamuziki, wachekeshaji na raia mbalimbali wa jordan.

Inglés

it seems that youtube visitors agreed with him on what he said, as around 2 million viewers watched the video episodes broadcasted on youtube; which include along with her recording, contributions from different jordanian musicians, comedians and citizens.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo