Usted buscó: matoleo ya sinema (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

soto alizaliwa huko ciudad bolivar, venezuela, ambako alianza kufanya kazi kama mchoraji wa mabango ya sinema.

Inglés

soto was born in ciudad bolívar, venezuela, where he began working as a painter of cinema posters.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

serikali ya naijeria ilichukizwa na jinsi filamu hiyo ilivyowaonyesha wanaijeria kama wahalifu na wala watu, na iliipiga marufuku ndani ya naijeria na kulitaka baraza la udhibiti kuikamata kutoka kwenye majumba ya sinema.

Inglés

the nigerian government took offense at the film's depiction of nigerians as criminals and cannibals, banning the film within nigeria and asking the censor's board to confiscate it from theaters.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

makala hii ni ya tatu katika matoleo ya makala zetu za – “wanayo majina” – iliyo na madhumuni ya kuwazungumzia wanablogu ambao hadi sasa wapo gerezani.

Inglés

this marks the sixth post in our series – “they have names” – that seeks to highlight the individual bloggers who are currently in jail.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kamayani wa mtandao wa kracktivist anasema kuwa dhana ya saa nzuri kupata punguzp la bei, ambayo ni maarufu sana kwenye vilabu vya pombe, mahotelini na hata kwenye majengo ya sinema, imeingia hadi kwenye sekta ya afya nchini india.

Inglés

kamayani at kracktivist reports that the happy hours discount concept, which is popular across bars, restaurants and multiplexes, is now catching up in the indian health care sector.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa vile vipande vidogo vinaweza kupenyeza hata barakoa tano zilizowekwa pamoja, watoa huduma ya afya wanaogusana na wagonjwa lazima wavae barakoa za n95 (matoleo ya # 1860) lakini sio barakoa za kimatibabu.

Inglés

since particles can penetrate even five surgical masks stacked together, health-care providers in direct contact with patients must wear n95 (series # 1860s) masks but not surgical masks.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hatua ya kwanza ya kujikinga inayoweza kutumika kupunguza hatari ya maambukizi ni kupitia kuvaa barakao za uso; kutumia barakoa za matibabu na barakoa za n95 za kusaidia pumu (matoleo ya # 1860) husaidia kudhibiti kuenea kwa virusi.

Inglés

the first line of defense that could be used to lower the risk of infection is through wearing face masks; both the use of surgical masks and n95 respirator masks (series # 1860s) helps control the spread of viruses.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tutakuwa tukitoa matoleo ya vitabu vyetu hivi vya kielektroni kwa kufuata mada, kanda, masuala, lugha, vyombo vya habari n.k. na kwa mitindo mbalimbali, na kwa hiyo kutoa picha pana zaidi na kusambaza zaidi makala zilizo bora zilizoandikwa katika vipindi tofautitofauti kupitia jumuiya yetu.

Inglés

we will put out electronic publications according to topics, regions, issues, languages, media, etc. and in a variety of formats, thus providing broader exposure to the best material produced over the years by our community.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo