Usted buscó: tafadhali angalia id ya mada (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

tafadhali angalia jina la shindano

Inglés

please check the contest namesindano

Última actualización: 2021-06-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

tafadhali angalia: sehemu ya kwanza ya makala hii inapatikana hapa.

Inglés

note: part 1 of this post is found here.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

orken aliandika makala juu ya mada hiyo :

Inglés

orken wrote a post on the subject :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa miitikio na zaidi na habari zinazoendelea kutufikia, tafadhali angalia ukurasa wa facebook uitwao free razan au tumia alama hii kwenye mtandao wa twita #freerazan.

Inglés

for more reactions and updates, check the free razan facebook page or the twitter hash tag #freerazan.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

moja ya mada kwenye ukurasa huo ni kuhusu mwendeshaji/mtengenezaji wa ukurasa huo.

Inglés

one of the topics on the page is about the administrator/creator of the page.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

gazeta.pl imeweka tafiti juu ya mada hiyo, ikiutaka umma kutoa maoni yao.

Inglés

gazeta.pl posts a survey on the topic, asking the public for their opinions.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wiki hii ijayo tutafuatilia maelekezo ya ziada kwenye wikimania na makongamano mengine ya kimkoa na jamii ya mada.

Inglés

this coming week we will follow up with additional guidance on wikimania and other regional and thematic community conferences.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kama tunavyofahamu, (ubunifu) unaweza kwenda zaidi ya mada za ngono na unyama.

Inglés

the latter, as we are aware, goes beyond a focus on only themes of sex and violence.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

uchavuzi wa maji kwa kemikali hatari huko lanzhou imekuwa ni moja ya mada tatu zilizopewa kipau mbele katika mtandao wa weibo siku ya ijumaa usiku.

Inglés

lanzhou water contamination was one of the top three trending topics on weibo as of friday night.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

baada ya mada yenye kufahamisha ya manal, wanablogu walijigawa katika warsha za makundi , wakigusia mada mada mchanganyiko.

Inglés

after manal's informative presentation, the bloggers broke into group workshops, touching on a variety of subjects.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

maoni ya kuunga mkono kwenye #bdsp yalimiminika kwenye posti ya blogu ya qifa nabki juu ya mada hiyo:

Inglés

supportive comments for the #bdsp poured on qifa nabki's blog post on the subject:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

debolina raja gupta anaorodhesha ratiba ya mada zilizoangazwa kwenye kipindi cha satyamev jayate kufikia tarehe 10 ,juni, 2012:

Inglés

debolina raja gupta posts a list of the topics featured in satyamev jayate till 10 june, 2012:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

baada ya mada ya kwanza, mwanablogu wa kimisri manal alijadili ulimnwengu wa wanateknolojia wa kiarabu, hasa aligusia kuhusu wanateknolojia wa kike nchini misri.

Inglés

following the first presentation, egyptian blogger manal discussed the world of arab techies, particularly touching about female techies in egypt.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kulikuwa na haja ya sauti mbadala na kwa hivyo zone 9:ers walianza kublogu na kutumia vyombo vya habari vya kijamii kwa kuandika juu ya mada zinazohusiana na haki za binadamu.

Inglés

there was a need of an alternative voice and the zone 9:ers therefore began blogging and using social media to write on subjects related to human rights.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

michoro ya uchi, moja wapo ya mada za muda mrefu zaidi na zinazoendelea kuwa na umaarufu katika ulimwengu wa sanaa, imesababisha kusimamishwa kwa akaunti nyingi za mtandao wa facebook katika kipindi cha miaka kadhaa.

Inglés

the nude, one of the oldest and most recurrent subjects in the art world, has led to the suspension of many facebook accounts over the years.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

sayeh azadi alichapisha tena (tafadhali angalia hapo juu) kikaragosi kilichochorwa na mchoraji vikaragosi anayeongoza nchini irani nikahang kutoka kwenye roozonline kikaragosi hicho kilikuwa na kichwa cha habari kinachosema “ndoto za ahmadinejad kwa lebanoni”.

Inglés

sayeh azadi has republished (see above) a cartoon by leading iranian cartoonist nikahang from in roozonline with the headline "ahmadinejad's dreams for lebanon".

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kwa mujibu wa tovuti ya mada masr, iliyonukuu kutoka kwenye tovuti inayomilikiwa na ahram gate, watuhumiwa hao wanadaiwa: “kuandaa maandamano haramu nje ya jengo la baraza la shura jijini cairo, kumshambulia afisa wa polisi, kuiba radio ya upepo, uhuni, ghadhabu dhidi ya maafisa wa polisi, kufunga barabara, kujaza watu kwenye maeneo ya umma na kuharibu mali ya umma."

Inglés

according to mada masr, which quoted the state-owned ahram gate website, they are accused of: “organizing an unauthorized protest outside the shura council in cairo, attacking a police officer, stealing a walkie-talkie, hooliganism, aggression against police officers, blocking the road, crowding a public place and destruction of public property.”

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo