Preguntar a Google

Usted buscó: uonyeshwaji wa washiriki (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

Alimnukuu mmoja wa washiriki:

Inglés

He quoted one of the participants:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Mmoja wa washiriki ni muhanga wa Mauaji ya Wayahudi yaliyofanywa na ma-NAZI (Holocaust) Hedy Epstein.

Inglés

Amongst the participants is 84-year old Holocaust survivor Hedy Epstien.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Kila mtu alikuwa na msisimuko wa pekee, lakini mmoja wapo wa washiriki waliokuwa na furaha alikuwa Elaine Díaz anayetoka Havana, Cuba.

Inglés

Everyone was excited, but one of the most thrilled participants was Elaine Díaz from Havana, Cuba.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Jitihada za kuweka kumbukumbu sawa kuhusu asili ya Zoezi hili zinaendelea, lakini kwa mujibu wa kiongozi wa kundi hilo, mmoja wa washiriki wa mwanzo kabisa alikuwa James Gensaw, aliyekuwa anayezungumza maneno ya lugha ya Yurok.

Inglés

Efforts to pinpoint the origin of this challenge are ongoing, but according to the group administrator, one of the first participants was James Gensaw, speaking words in the Yurok language.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

Kisha anakwenda kwenye ukurasa wa Facebook wa washiriki wa zoezi hili unaoitwa "Kutunza Uimara wa Lugha ya Kanienkeha ", linaloundwa na viongozi na walimu, na wanafunzi ambao ndio kwanza wameanza kuzungumza lugha hiyo.

Inglés

She then goes onto challenge members of the "Keeping the Kanienkeha Language Strong" Facebook group, community leaders and teachers, and students that are just starting out to speak the language.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

Kwa mfano, kwenye Siku ya Wanawake Duniani, mchango wa washiriki wanawake ulitambuliwa na kusherehekewa katika katika kituo cha mafunzo na mashirika ya ITECH CENTER, Fada Tech, na Femmes & Tic Niger (Umoja ulioanzishwa na Fatima Alher, ambaye ni mmoja wa wanachama wa Mradi wa Kuiweka Niger katika Ramani):

Inglés

On International Women’s Day, for example, the contribution of female participants was recognised and celebrated at a training workshop with the organisations ITECH CENTER, Fada Tech, and Femmes & Tic Niger (an association created by Fatima Alher, a member of the Mapping for Niger project):

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

Ikiwa imeandaliwa na wanachama wetu wawili Mohamed El Gohary (@ircpresident) na Tarek Amr (@gr33ndata), pamoja na wanachama wengine wa GV, mkusanyiko huo utajikita kwenye: Kutoa mtazamo wa jumla wa kazi ambazo tunazifanya kwenye Global Voices, ikiwa ni pamoja na Rising Voices, Advox, and Lingua Kushirikishana mbinu ambazo jumuiya kubwa zaidi inaweza kuhusishwa na miradi ya Global Voices. Kuunganisha shughuli kwa namna ambayo washiriki wanaweza kushirikishana taarifa kuhusu miradi yao wenyewe ya mtandaoni au hata maoni kwa ajili ya miradi Kukuza matumizi ya mitandao ya kijamii katika kazi zao kwa kutumia uzoefu wa washiriki wengine

Inglés

Hosted by two of our community members Mohamed El Gohary (@ircpresident) and Tarek Amr (@gr33ndata), as well as other GV volunteers, the gathering will focus on: Providing an overview of the work that we do at Global Voices, including Rising Voices, Advox, and Lingua Sharing ways that the wider community can get involved with Global Voices Networking activities so that participants can share information about their own digital projects or ideas for projects Maximizing the use of social media in their work based on the experiences of other attendees

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
4,401,923,520 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo