Usted buscó: addis ababa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

addis ababa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

wanablogu sita waliokamatwa jijini addis ababa.

Inglés

six of the detained bloggers in addis ababa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maekelawi ni sekta ya polisi ya shirikisho la upelelezi wa matukio lililopo addis ababa.

Inglés

maekelawi is the federal police crime investigation sector in addis ababa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

filamu ya "difret" imeoneshwa kwenye kumbi za filamu mjini addis ababa kwa majuma sita.

Inglés

"difret" played to sold-out audiences in addis ababa for six weeks.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

mamlaka ya kiufundi ya kamati ya mapitio, kwa mujibu wa tamko rasmi la addis ababa ni kukamilisha mchakato wa katiba.

Inglés

the technical revision committee’s mandate as per addis ababa’s communiqué is to complete the constitutional process.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika maisha yake ya kawaida, atnaf ni mtaalamu wa masuala ya tehama anayefanya kazi na mamlaka ya jiji la addis ababa katika mji wa bole.

Inglés

in real life, atnaf is an ict specialist who works with addis ababa city administration at bole sub-city.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

edom (kushoto) akiwa na mahlet akisindikizwa kwenye chumba cha mahakama ndani ya viunga vya mahakama kuu jijini addis ababa.

Inglés

edom (left) and mahlet being escorted to the courtroom inside the compound of high court in addis ababa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

waandishi eskinder nega na reeyot alemu walikabiliwa na mashitaka yanayofanana na hayo na wamekuwa wakishikiliwa kwenye mahabusu ya kalaity jijini addis ababa tangu mwaka 2011.

Inglés

journalists eskinder nega and reeyot alemu faced the same charge and have been held in addis ababa’s kalaity prison since 2011.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa wasiomjua, edom alichorwa kama mwandishi chipukizi aliyekuwa na hamasa kubwa na ambaye kazi zake zilionekana takribani kila mahali kuanzia kwenye gazeti la kila siku linalomilikiwa na serikali hadi kwenye vituo vya redio vinavyojitegemea vya addis ababa.

Inglés

for outsiders, edom looked like any young aspiring journalist whose works appeared everywhere from state-owned daily newspaper to independent addis ababa radio stations.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata hivyo, likizo yake hiyo, iliyoanza baada ya shughuli yake ya kwanza kimataifa ya kuhudhuria mkutano wa umoja wa afrika (au) addis ababa, ethiopia, iliwastua watu.

Inglés

nevertheless, his holiday, which began after his first international assignment on a trip to the african union (au) summit in the ethiopian capital, addis ababa, raised eyebrows.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwandishi wa habari wa reuters aliyeko addis barry malone aliandika posti kwenye blogu ya shirika hilo iitwayo africa news blog yenye kichwa cha habari kuanguka kwa ndege ya kiethiopia kusipake matope habari za mafanikio:

Inglés

reuters' addis-based correspondent barry malone wrote a post on the company's africa news blog titled ethiopian plane crash should not sully success story:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wakiwa wamekamatwa na kuwekwa ndani jijini addis ababa tarehe 25 na 26 aprili, wamekuwa mahabusu kwa tuhuma zisizo rasmi za "kufanya kazi na mashirika ya kigeni yanayodai kuendesha harakati za haki za binadamu na ...kupokea fedha kwa ajili ya kuchochea ghasia kwa kutumia mitandao ya kijamii.”

Inglés

arrested and detained in addis ababa on april 25 and 26, they since have been behind bars on informal accusations of “working with foreign organizations that claim to be human rights activists and…receiving finance to incite public violence through social media.”

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

joanne sprague, anayeblogu kwenye overturning boulders nchini india, anabaini kuwa wanawake hawapo kwenye mzunguko wa kwenda haja asubuhi mijini chennai, wakati huko ethiopia blogu ya an adventure in addis inabaini hali kama hiyo pia:

Inglés

joanne sprague, blogging on overturning boulders in india, observes that women are absent from the morning toilet run in chennai, while in ethiopia the blog an adventure in addis notices a similar situation:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kazi hii ni ya ufuatiliaji wa yaliyotekelezwa katika kikao cha waweka saini cha hivi karibuni kilichofanyikia mjini addis ababa ambapo mambo mengi ya kikatiba yalikubaliwa na baadhi ya mapendekezo -yaliyoandaliwa na tume huru ya katiba ya serikali ya shirikisho- yamerekebishwa baada ya makubaliano ya kisiasa ya amani baina ya waweka saini wa mpango huo wa amani wa kumaliza kipindi cha mpito, yaliyofanyika mogadishu mwezi wa 9 mwaka jana.

Inglés

the working session is a follow up to the recent addis signatories’ meeting were most of the constitutional issues were agreed and some of the provisions – prepared by the independent federal constitution commission – have been amended after congenial political negotiations between the signatories of the roadmap to end the transition, which was adopted in mogadishu last september.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

befeqadu hailu, abel wabela, atnaf berahane, mahlet fantahun, zelalem kibret, na natnael feleke (wote wakiwa n wanachama wa mkusanyiko wa wanablogu wa zone 9) na waandishi wa habari asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes pamoja na edom kassaye walikamatwa mnamo aprili 25 na 26, 2014 jijini addis ababa.

Inglés

befeqadu hailu, abel wabela, atnaf berahane, mahlet fantahun, zelalem kibret, and natnael feleke (all members of the zone 9 blogging collective) and journalists asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes and edom kassaye were arrested on april 25 and 26, 2014 in addis ababa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,792,157,252 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo