De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
akiba
savings
Última actualización: 2016-01-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
wema ni akiba
saving doesn't
Última actualización: 2023-10-27
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
akaunti ya akiba
savings account
Última actualización: 2015-09-08
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kinyume cha neno akiba
the opposite of the word savings
Última actualización: 2020-01-11
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
wema wa leo ni akiba ya kesho
today's goodness is tomorrow's savings
Última actualización: 2021-06-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hakuna vikwazo katika kuweka akiba au kukopa au kukopesha
there are no obstacles in saving or borrowing or lending
Última actualización: 2021-10-26
Frecuencia de uso: 2
Calidad:
Referencia:
wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.
they that were foolish took their lamps, and took no oil with them:
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
sheria kama hizo pia zipo italia zinazohitaji wazalishaji wa vyakula kuweka akiba kwa hali ya dharura kama huu.
similar laws exist in italy requiring food producers to keep reserves for such emergencies.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kuwa na huduma ya twita kama nyenzo ya akiba ni jambo linalotarajiwa, kwa sababu kutakuwa na matumizi huko vile vile.
having twitter on as a backup is natural, as there will be a great deal of chatter there as well.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
wamisri wamejipanga kwenye vituo vya kuuzia mafuta na kila mmoja anasema wanajaza matanki yao ya akiba kabla bei hiyo haijaanza kupanda.
egyptians are lined up at petrol stations and everyone is saying they will fill up their tanks before gasoline prices go up.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
mojawapo ya maeneo ambayo wanasiasa wanasemekana kuyalipia ni kituo cha curios, karibu na jengo la benki ya akiba ya malawi huko blantyre.
one of the places where politicians are said to have paid for a place is at the curios centre, near malawi savings bank in blantyre .
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya mwenyezi mungu, na ninakwambieni mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu.
and by god's leave i will heal the blind and the leper and bring the dead to life. i will tell you what you eat and what you store up in your homes.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
swali la 2: je, unafahamu kuhusu mashirika ya mikopo midogo midogo au vyama vya kubadilishana vya akiba na mikopo (roscas)?
question 2: are you aware of micro credit organizations or rotating savings and credit associations (roscas)?
Última actualización: 2021-10-26
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
nilishtushwa hivi karibuni nilipowasikia baadhi ya watanzania wa kawaida katika jiji la dar es salaam wakijadili kuhusu uchaguzi wa jumapili ijayo na wakishauriana kwamba itakuwa vema kuhakikisha watu wanajiwekea akiba ya kutosha ya chakula majumbani, maana walikuwa wakitarajia matukio mabaya.
i was shocked beyond words recently when i overheard ordinary tanzanians in a dar-es-salaam surburb discussing sunday’s polls and saying that it would be a good idea to stock up in food and stay indoors, expecting the worst.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
na ninawaponesha vipofu wa tangu kuzaliwa na wakoma, na ninawafufua maiti kwa idhini ya mwenyezi mungu, na ninakwambieni mnacho kila na mnacho weka akiba katika nyumba zenu. hakika katika haya ipo ishara kwenu ikiwi nyinyi ni wenye kuamini.
(several miracles bestowed to prophet eisa are mentioned here.)
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
tarehe 2 aprili, ujerumani ilitangaza kuwa itanunua dawa hiyo kutoka japani kwa akiba yake, na kutumia jeshi kupeleka dawa hiyo kwa hospitali za chuo kikuu, ambapo dawa hiyo itatumika kutibu wagonjwa wa covid-19.
on 2 april, germany announced that it would purchase the drug from japan for its stockpile, and use the military to deliver the drug to university hospitals, where the drug will be used to treat covid-19 patients.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
je pesa zote zinakwenda wapi, mwanachama wa jukwaa la uchumi la sohu bry anaonekana kuuliza hilo katika makala hii ya wiki iliyopita, “kwa nini wachina hujitunzia akiba kiasi hiki wakati wote?”, akianza kwanza kwa kulinganisha mifumo ya huduma za afya ya australia, sweden na thailand na ule wa china:
where's all the money going, sohu economics forum member bry seems to ask in this post from last week, "why do chinese always save so much?", starting first by comparing the health care systems of australia, sweden and thailand with that of china:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible