De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
alipokwisha sema hayo, wapinzani wake waliona aibu lakini watu wengine wote wakajaa furaha kwa sababu ya mambo yote aliyotenda.
and when he had said these things, all his adversaries were ashamed: and all the people rejoiced for all the glorious things that were done by him.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
sisi ni mashahidi wa mambo yote aliyotenda katika nchi ya wayahudi na katika yerusalemu. walimuua kwa kumtundika msalabani;
and we are witnesses of all things which he did both in the land of the jews, and in jerusalem; whom they slew and hanged on a tree:
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, alipofika galilaya, wagalilaya wengi walimkaribisha. maana nao pia walikuwa kwenye sikukuu ya pasaka, wakayaona mambo yote yesu aliyotenda huko yerusalemu wakati wa sikukuu hiyo.
then when he was come into galilee, the galilaeans received him, having seen all the things that he did at jerusalem at the feast: for they also went unto the feast.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad: