Usted buscó: ana kutumia picha hiyo auoamba uipoke (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

ana kutumia picha hiyo auoamba uipoke

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

wildlifedirect pia imetuma wito kwa kutumia picha hizo hizo.

Inglés

wildlifedirect has also posted an appeal using the same photos.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha hiyo inasambazwa kwenye mtandao wa twita.

Inglés

photo circulated on twitter.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha hiyo juu imesambaa mno kwenye mtandao wa twita.

Inglés

the photo above has been shared widely on twitter.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha hiyo ilimfanya mwanablogu mmoja wa vkontakte kujibu :

Inglés

the image led one vkontakte blogger to react :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hii siyo sahihi, kutumia picha ya wanafunzi katika chuo cha mafunzo ya kijeshi ili kupotosha siyo vizuri.

Inglés

this is wrong, using the photos of the students of the military academy to mislead is not good.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

pisarev vile vile alijumuisha maelezo zaidi ya picha hiyo kwenye blogu yake:

Inglés

pisarev also included further explanation of the image on his blog:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

pedazos de la isla, ambaye aliorodhesha matukio hayo hatua kwa hatua kwa kutumia picha , alibaini kwamba:

Inglés

pedazos de la isla, which chronicled the events in photographs, noted that:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

radio hiyo inawanukuu mashuhuda wanaothibitisha kuwa picha hiyo ni sehemu ya sherehe rasmi ya harusi.

Inglés

the service quotes witnesses who confirm that the photo is an integral part of any official wedding ceremony.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

blogu ya vuilblog anatumia dhihaka dhidi ya wafuasi wa malema kwa kutumia picha ya malema, ikiwa na maandishi yafuatayo:

Inglés

vuilblog takes a satirical approach against malema's followers with a picture of malema, which has the following text:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mkusanyiko wa kiraia la misri mosireen umekuwa, bila kuchoka, ukiweka kumbukumbuza mapinduzi ya januari 25 na matukio yaliyofuata baadae kwa kutumia picha na dokumentari.

Inglés

the egyptian citizen collective mosireen has been tirelessly documenting the #jan25 revolution and the events that followed in images and documentaries.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

bado mfanyakazi mwingine wa kujitolea wa peace corps ambaye blogu yake inaitwa from the cold land with the hot sun anatupa uzoefu wake unaofurahisha kutokana na siku kuu, kwa kutumia picha:

Inglés

yet another pcv whose blog is called from the cold land with the hot sun shares an interesting experience from the holiday, complete with photo:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

baadae, afisa wa polisi aliongea na mama huyo akiamuru picha hiyo iondolewe. mama huyo pia, alielezea alichofanyiwa na askari kanzu aliyemtukana.

Inglés

later, a police officer came to talk to her demanding the photograph be taken down. she told him about the mabahith member.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha hiyo ya video ilikuwa moja kati ya mbili zilizorushwa hewani na televisheni ili kuonyesha kwamba tymoshenko alikuwa akitendewa vema na kuwa aliishi maisha mazuri sawa na kwenye hoteli za kifahari.

Inglés

the video clip was one of two aired on tv with the apparent aim of showing tymoshenko was being well treated and living in conditions akin to those of a good hotel.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

blogu ya milioni moja kwa uhuru wa habari nchini hangari, ambayo pia hujulikana kama milla, iliweka ujumbe huu kwa kutumia picha ya orbán aliyetiwa nguvuni mwaka 1998 na picha ya mmoja wa wanafunzi walitiwa nguvuni hivi sasa:

Inglés

one million for the freedom of press in hungary, also known as milla, shared this meme using a photo of orbán being arrested in 1988 and the photo of one of the students arrested now:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika kuadhimisha mwaka mmoja tangu kufungwa kwake, katika majukwaa ya kijamii, watumiaji wa mtandao duniani kote walibadili picha zao za wasifu na kutumia picha ya abd el fattah ili kuongeza uelewa wa watu kuhusu masaibu ya alaa pamoja na wafungwa wengine wa kisiasa nchini misri.

Inglés

to mark the anniversary, netizens from around the world changed their avatars to abd el fattah's infamous picture on social media platforms to draw attention to his plight and that of thousands of other political prisoners in egypt.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

"kama hutakuwa mwangalifu, crimea," anasema aliyeipiga picha hiyo, "mtageuka kundi la wachache wanaonyanyasika urusi!"

Inglés

"if you aren't careful, crimea," says the author of the image, "russia's ethnic minorities will take over!"

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

insha ya atwood kwenye wavuti ya amnesty international inaonyesha mambo mawili, sehemu inayohusu taratibu za kujifungua huku umefungwa minyororo kama yalivyoelezwa kwenye mtoto wa vanessa na pia inaonyesha jambo jingine kuhusu mfumo wa magereza na umama, kwa kutumia picha za wanawake wakati mpigapicha akisoma insha kuhusu uzoefu wake wa kutembelea magereza huku akipiga picha.

Inglés

the atwood documentary in the amnesty international site features both a section on the process of giving birth in shackless as told in vanessa's baby and another on prison systems and motherhood, with fotographs of the women while the photographer reads an essay on her experiences visiting the prisons and taking the pictures.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika sehemu moja ya picha hiyo ya video, ambayo ilionyesha chumba kilicho na samani za maana ikiwa ni pamoja na jokofu, tymoshenko anaweza kusikika akisema: "nilikuwa nimewekwa mahali penye hali mbaya sana, sitaki mwonyeshe picha hizi zinazodanganya kuhusu hali halisi sasa."

Inglés

in another part of the footage, which showed a well-furnished room with a refrigerator, tymoshenko can be heard saying: "i was being kept before in unacceptable conditions and i don't want you to show this false picture now."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,775,853,831 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo