Usted buscó: hatarini (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

hatarini

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

moroko: je, wakristu wako hatarini?

Inglés

morocco: are christians at risk? · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

charlie m. anaelezea nini kilichoko hatarini :

Inglés

charlie m. explains what was at stake :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

picha kwa hisani ya asasi ya watoto walio hatarini.

Inglés

photo by children at risk foundation

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hata hivyo, kutekwa kwake kunadhihirisha kuwa kila mmoja yu hatarini.

Inglés

however, his kidnapping proves that anyone is risk.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanablogu na mwandishi arafatul islam anafikiri kuwa, sifa ya aina hii ipo hatarini:

Inglés

blogger and journalist arafatul islam thinks such pride is at stake:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kama kitendo cha kawaida, watu waliomo hatarini au walioambukizwa na virusi kwa kawaida wanahitajika kuwa kwenye karantini kwa siku 14.

Inglés

as a common practice, individuals exposed to, or infected by, the virus are usually required to be quarantined for 14 days.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tutaunda fomu mpya ya maombi ili huduma ziweze kunasa usafiri wa hivi majuzi na kuwepo hatarini kupata covid-19.

Inglés

we will develop a new request form for practices to capture recent travel and exposure to covid-19.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

binadamu wote kwa ujumla hawana kinga mwilini dhidi ya sars-cov-2 na hivyo wamo hatarini kupata virusi hivi vipya.

Inglés

the entire human population generally lacks immunity to sars-cov-2 and hence is susceptible to the novel virus.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

serikali ya heshan iliridhia mambo kadhaa kufuatia mamia ya raia wa jiji la heshan kuandamana julai 12, 2013 wakipinga kujengwa kwa mradi huo ambao wanaamini utaweka maisha yao hatarini.

Inglés

the heshan government made several concessions after hundreds of local residents took to the street on july 12 enraged by the high-risk project.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

aidha mchafuko ulikuwa mapinduzi ama vikosi vya usalama vilishindwa kuushughulikia machakato wa uteuzi vyema kwenye makao yao. splm imechafua sifa yake kwa kitendo cha kutia hatarini maisha ya watu wasio na hatia.

Inglés

either it was a coup d'état or security forces mishandling reassignments in their quarters, the splm has tarnished its reputation by putting innocent lives at risk.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa mujibu wa utawala wa usalama wa kikazi na afya (osha) ya marekani, kazi za kuwemo hatarini chache zina kutangamana na watu kikazi na umma na wafanyakazi wengine.

Inglés

according to the u.s. occupational safety and health administration (osha), lower exposure risk jobs have minimal occupational contact with the public and other coworkers.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kazi za kuwemo hatarini kwa kiwango cha wastani ni pamoja na zile zinazohitaji kutangamana mara kwa mara au karibu na watu ambao hawajulikani au kushukiwa kuwa na covid-19, lakini huwezekana wameambukizwa kutokana na usambazaji unaoendelea wa jamii au usafiri wa kimataifa.

Inglés

medium exposure risk jobs include those that require frequent or close contact with people who are not known or suspected with covid-19, but may be infected due to ongoing community transmission or international travel.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

takwimu zinaonyesha kuwa kati ya lugha 6,000 zilizopo sasa, zaidi ya 200 zimetoweka katika vizazi vitatu vilivyopita, 38 ziko hatarini kabisa, 502 ziko hatarini sana, 632 ziko hatarini bila ya shaka na 607 haziko salama.

Inglés

the data shows that out of the 6,000 languages currently in existence, over 200 have died out over the last three generations, 538 are critically endangered, 502 severely endangered, 632 definitely endangered and 607 unsafe.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

(2) kuendelezwa kwa uchunguzi wa sasa wa kivirolojia na kupima watu walio na ugonjwa unaofanana na homa ya mafua au maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)—kwa tahadhari kwamba watu wanashukiwa kuwa au ambao wamekuwa hatarini kupata covid-19 wanapaswa kupaswa kupelekwa katika vituo vya kidhibiti vya kitaifa badala ya kupewa tiba ya kimsingi.

Inglés

(2) extension of current virological surveillance and testing people with influenza-like illness or lower respiratory tract infections (lrti)—with the caveat that people suspected to have or who have been exposed to covid-19 should be referred to the national containment pathway and not seen in primary care.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,782,469,013 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo