Usted buscó: hubaki (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

hubaki

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

sisi tunajua kwamba tumekwisha pita kutoka katika kifo na kuingia katika uzima kwa sababu tunawapenda ndugu zetu. mtu asiye na upendo hubaki katika kifo.

Inglés

we know that we have passed from death unto life, because we love the brethren. he that loveth not his brother abideth in death.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kweli nawaambieni, punje ya ngano hubaki punje tu isipokuwa ikianguka katika udongo na kufa. kama ikifa, basi huzaa matunda mengi.

Inglés

verily, verily, i say unto you, except a corn of wheat fall into the ground and die, it abideth alone: but if it die, it bringeth forth much fruit.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

anirutpichedpan: kifo cha k samak kimethibitisha kuwa watu wengi husahau dhana njema ya kusameheana katika ukamilifu wake! chuki tu hubaki!

Inglés

anirutpichedpan: death of k samak proves many people forget the good notion of 4giveness in its entirety!only hate remains!forget about conciliation,i say

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

familia nyingine hutoa nyama yote kwa wale wenye uhitaji, wakati wengine (kama famialia yangu ya kufikia) hula mpaka kiungo cha mwisho, na hubaki na nyama itakayowatosha kwa miezi miwili au zaidi.

Inglés

some families give all the meat to those in need, while some (like my host family) eat every last organ, and have enough meat to last them for 2 or more months.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

imekuwa ni moja ya mazoea au mawazo ambayo kwa watu wengi huwa wanachukulia ni kama mawazo ya kitoto kutokana na kwamba ni mawazo ambayo watoto wengi huwaza au kutamani watakapo kuwa watu wazima basi kuweza kuyatimiza au kuyafikia mawazo hayo, lakini mawazo hayo hubaki kuwa ndoto ambazo ili kuzifikia inahitaji jitihada za kutosha katika kujituma kuweza kuyafanya mawazo na ndoto hizo kuwa halisia. watoto wengi huwa na ndoto nyingi ambazo huamini kabisa ukubwani wataweza kuzitimiza kirahisi, ila wanapofikia kuwa watu wazima taratibu ndoto zile huanza kubadilika kulingana na mazingira na hali za kiuchumi pia, japo kuna wengine ambao hufanikiwa kabisa kuziishi ndoto zao. mtoto anaeonekana katika mchoro huu nimoja kati ya watoto wenye ndoto au matamani ya kumiliki vitu vya thamani ambapo ameonekana kuweza kuonesha ndoto zake katika canvas, akionesha kutamani kumiliki gazi zuri la kifahari.

Inglés

they give me ideas

Última actualización: 2024-09-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
8,028,924,004 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo