Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
na sisi tuko thabiti mbele ya mungu kwani tuna hakika kwamba tukimwomba chochote kadiri ya mapenzi yake, yeye hutusikiliza.
and this is the confidence that we have in him, that, if we ask any thing according to his will, he heareth us:
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
yeye hutusikiliza kila tunapomwomba; na kwa vile tunajua kwamba yeye hutusikiliza kila tunapomwomba, twajua pia kwamba atupatia yote tunayomwomba.
and if we know that he hear us, whatsoever we ask, we know that we have the petitions that we desired of him.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
lakini sisi ni wake mungu. mtu anayemjua mungu hutusikiliza, mtu asiye wa mungu hatusikilizi. basi, kwa njia hiyo tunaweza kutambua tofauti kati ya roho wa ukweli na roho wa uongo.
we are of god: he that knoweth god heareth us; he that is not of god heareth not us. hereby know we the spirit of truth, and the spirit of error.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad: