Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
bahati nzuri
good fuck
Última actualización: 2020-03-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
nitakie bahati nzuri
wish me good
Última actualización: 2021-06-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
haya kwa mwaka huu
during this year
Última actualización: 2022-07-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hii ni mara ya name mwaka huu
today is a happy day
Última actualización: 2020-08-18
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kwa bahati nzuri au mbaya, siku za zoko hilo zinahesabika.
fortunately or unfortunately, the market’s days are numbered.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
anasema kwamba mwaka huu unatia moyo.
he says that for him this year offers hope.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
nimemaliza chuo mwaka huu kwaio bado sina kazi
Última actualización: 2024-01-01
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
pamoja na hayo imekuwa kazi ngumu kuchagua 10 kati ya nyingi nzuri kwa mwaka huu 2013."
even so it has still been a struggle to pick 10 of our favourites for this year (2013)."
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kwa bahati nzuri innocent, mkewe na watoto 5 wako salama na hawakuporwa.
fortunately innocent, his wife and 5 kids are okay and they were not robbed.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
bobs inaadhimisha mwaka wa 10 wa kuwepo mwaka huu.
the bobs marks its 10th year of existence this year.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kwa bahati nzuri, tayari kuna ufahamu wa umuhimu wa kuwatunza tembo katika nchi hii.
fortunately, there is a growing awareness about the need to protect the elephants in the country.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
msumbiji itafanya uchaguzi wa manispaa tarehe 20 novemba mwaka huu.
mozambique will hold municipal elections on november 20.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
ingizo la blogu mapema mwaka huu kwenye vibe ghana liliripoti kuwa:
a blog entry posted early this year on vibe ghana reported that:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
bila shaka, hii ni hadithi ya mapenzi isiyo na kifani mwaka huu!!!
this has to be the love story of the year!!!!!
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
je, msimu wa hija ya mwaka huu utatishiwa na homa ya mafua ya nguruwe?
is this year's hajj season being threatened by the a/h1n1 or swine flu virus?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
alikamatwa miezi 22 iliyopita, na kesi yake ilianza kusikilizwa mwezi juni mwaka huu wa 2010.
he was arrested 22 months ago, and his trial began in june 2010.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kwa mujibu wa shirika hili, wanawake wazawa 51 walikuwa wahanga wa matukio haya kwa mwaka huu.
according to this organization, 51 indigenous women were the victims of violence during this year.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
baadae mwaka huu ningependa kufanya mazungumzo na warsha kadhaa kuwahamasisha watu nchini mauritania kuchora kutokana na uchunguzi.
later this year i would like to hold some talks and workshops to encourage more people in mauritania to sketch from observation.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
baadhi wanahoji ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi utakaofanyika mwishoni mwa mwezi oktoba mwaka huu nchini tanzania.
some question if it is due to the fact that tanzania is preparing for elections in late october 2015.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
bado kuna mmoja wetu, befeqadu, ambaye aliachiwa kwa dhamana na anapaswa kuwasilisha utetezi wake mwaka huu mwezi disemba.
still one member of our group, befeqadu, was released on bail and must defend himself later this year in december.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: