Usted buscó: iliyofanywa (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

iliyofanywa

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

naam hii ni mechi iliyofanywa mbinguni

Inglés

finally someone who also speaks fake swahili!

Última actualización: 2019-03-28
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika kipindi hicho serikali ya pap ilikuwa na wakati wa kutosha kuonesha ushahidi na kusema ukweli ili kwamba wote tuweze kushuhudia kazi nzuri iliyofanywa na isd katika kutukinga na maovu.

Inglés

during that period, the pap govt had all the time to show the evidence and tell the truth so that we can all see how wonderful a job the isd has done to protect us from evil.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa mujibu wa tafiti iliyofanywa mwezi wa pili na kampuni ya kiingereza, eca international – mji wa luanda ni wa kwanza kati ya miji ghali kupita yote duniani.

Inglés

according to a survey conducted in february by an english company, eca international - luanda ranks first among the most expensive cities in the world.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

waziri mkuu wa uingereza gordon brown alishutumu mauaji hayo na kusema kuwa “anaguswa hasa na ukweli kuwa hakuna tathmini yoyote ya akili iliyofanywa.”

Inglés

british prime minister gordon brown condemned the execution and said he was ""particularly concerned that no mental health assessment was undertaken."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

jambo hili lipo limejikita katika tofauti iliyofanywa na kila utamaduni kati ya «tunu za kuu za ustaarabu" na "tunu wezeshi".

Inglés

it lies entirely in the distinction made by each culture between « cardinal values of civilization ” and the “ instrumental values”.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kutokana takwimu tulizozikusanya kwa kuangalia namna wakulima wanavyotumia simu za mkononi kupata mbolea na mbegu kwa mwaka jana, tuligundua kwamba idadi ya miamala iliyofanywa kwa njia ya simu katika mpango wa ges ilifikia 4,900,000.

Inglés

from data we collected based on farmers’ use of cell phones to access fertilizers and seeds last year, we found that the total number of transactions done by phone with respect to the ges scheme was 4.9 million.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hata hivyo, mada iliyowafanya washiriki washikwe na hasira, ilikuwa ni ile iliyotolewa na mshiriki wa ki-syria razan ghazzawi juu ya tafiti inayotengeneza ramani ya ulimwengu wa blogu wa kiarabu iliyofanywa na kituo cha berkman kwa ajili ya intaneti na jamii.

Inglés

the presentation that got participants most riled up, however, was one given by syrian attendee razan ghazzawi on the berkman center for internet & society's study mapping the arabic blogosphere.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

mtetezi wa haki za wanawake nchini misri dalia aziada aliposti twiti hii baada ya makanisa kadhaa ya wakristo kuteketezwa katika maeneo mbalimbali nchini misri kufuatia operesheni ya kikatili iliyofanywa na jeshi agosti 14 2013, iliyokusudia kuwatoa wafuasi wa chama cha udugu wa ki-islamu kutoka makao ya makambi katika mji mkuu wa cairo, ambapo wamekuwa wakidai kurejeshwa madarakani kwa rais morsi kwa wiki kadhaa.

Inglés

egyptian women rights advocate dalia aziada posted this tweet after several coptic churches were burnt across egypt following a brutal military operation on august 14 2013, to clear muslim brotherhood supporters from sit-in camps in the capital cairo, where they have been demanding ousted president morsi's reinstatement for weeks.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,750,020,905 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo