Usted buscó: jambo na karibu (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

jambo na karibu

Inglés

Última actualización: 2020-12-07
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kila jambo na wakati wake

Inglés

everything has to be at his

Última actualización: 2017-03-01
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

covid-19 ilipanuka katika makundi hasa katika na karibu na hubei.

Inglés

covid-19 expanded in clusters mainly in and around hubei.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2006 kulikuwa na karibu ya kesi 1000 za talaka zilizotokana na mume kuoa mke mwingine.

Inglés

records show that in 2006 there were nearly 1000 cases of divorce because of husbands marrying another woman.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

janga hili kubwa lilianza kule wuhani, china na kuenea haraka kote nchini na karibu nchi nyingine 50 kote ulimwenguni.

Inglés

the epidemic started in wuhan, china, and quickly spread throughout the entire country and to near 50 others all over the world.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

"wayahudi walimkamata mtu huyu na karibu wangemuua kama nisingalifahamishwa kwamba yeye ni raia wa roma na hivyo nikaenda pamoja na askari nikamwokoa.

Inglés

this man was taken of the jews, and should have been killed of them: then came i with an army, and rescued him, having understood that he was a roman.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

katika muda wa chini ya miezi miwili, ugonjwa umeenea kote nchini china na karibu nchi nyingine 50 kote ulimwenguni kufikia wakati huu tunapoandika.

Inglés

in less than two months, it has spread all over china and near 50 other countries globally at the time of this writing.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

na wakristo husema: mayahudi hawana lao jambo. na ilhali wote wanasoma kitabu hicho hicho (biblia).

Inglés

and the jews say: the christians do not follow anything (good) and the christians say: the jews do not follow anything (good) while they recite the (same) book.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

safi ni maarufu katika kanda, kama ni rahisi kufanya, inaweza kuliwa na karibu chakula chochote au kama vitafunio yenyewe, na inaweza kuokolewa kwa matumizi ya baadaye

Inglés

clean is popular in the region, as it is easy to do, it can be eaten with almost any food or as a snack itself, and can be saved for future use

Última actualización: 2018-04-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

utafiti wa unfpa wa mwaka 2008 kwa wanawake wa jimbo la lofa nchini liberia uligundua kwamba wakati wa vita, wanawake tisa kati ya kumi walipoteza njia zao zinazowawezesha kuishi, asilimia 96 walipoteza malazi na karibu asilimia 75 waliwapoteza ndugu zao.

Inglés

a 2008 unfpa study of women in liberia’s lofa county found that during the war, nine out of ten women had lost their livelihoods, 96 percent had lost shelter and nearly 75 percent had lost a relative.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

tunahitaji sauti kutoka sehemu tofauti tofauti, hata wale wapinzani walio mbali kabisa ya wigo wa mantiki na wasio na manufaa, wahusishwe kwa kila jambo na wahamasishe midahalo kwa moyo na kama sio kwa kuguswa, kuliko kujenga muafaka mwingine wa kuonesha na kusema.

Inglés

we want diverse voices, even oppositional ones that sit at the far ends of the fence of logic and possibility, to get to the bottom of matters and stimulate a hearty, if not heart-felt, discussion, rather than another consensus building show-and-tell.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

siku hiyo hiyo mwaka 2012, arcoiris waliratibu tukio la kwanza la "besada," na karibu watu 50 walihudhuria tukio hilo katika maeneo ya uwanja wa michezo wa ramon fonst, kwenye manispaa ya plaza havana.

Inglés

on the same date in 2012, arcoiris organized the first "besada," and nearly 50 people participated in that event in the vicinity of the sports arena ramon fonst, in the municipality plaza havana.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kufikia wakati wa kuchapishwa kwa ripoti hii, ugonjwa huu tayari umeenea kote nchini china na karibu nchi nyingine 50 kote ulimwenguni (picha. (picha.2). 2).

Inglés

by the time of this report, the disease has already spread throughout china and near 50 other countries all over the world (fig. ​(fig.2).2).

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,747,447,371 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo