Usted buscó: kama maandiko (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kama maandiko

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

maandiko

Inglés

text

Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Suajili

nakili maandiko uliyoyateua kwenye baoshikizi

Inglés

copy the selected text to the clipboard

Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Suajili

ndani yake mna maandiko yaliyo nyooka.

Inglés

containing correct and straight laws from allah.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

teua maandiko yote katika uwanja wa maandiko

Inglés

select all the text in a text field

Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Suajili

yesu akampata mwana punda mmoja akapanda juu yake kama yasemavyo maandiko:

Inglés

and jesus, when he had found a young ass, sat thereon; as it is written,

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kama maandiko matakatifu yasemavyo: "hakuna hata mmoja aliye mwadilifu!

Inglés

as it is written, there is none righteous, no, not one:

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kama yasemavyo maandiko matakatifu: "mmegundua kwamba bwana ni mwema."

Inglés

if so be ye have tasted that the lord is gracious.

Última actualización: 2023-08-08
Frecuencia de uso: 2
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kama maandiko matakatifu yasemavyo: "yakobo nilimpenda, lakini esau nilimchukia."

Inglés

as it is written, jacob have i loved, but esau have i hated.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

jambo hili ni sawa kabisa na maneno ya manabii, kama maandiko matakatifu yasemavyo:

Inglés

and to this agree the words of the prophets; as it is written,

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika sijjin.

Inglés

indeed, the record of the wicked is in sijjeen.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

paulo alijiunga nao kama ilivyokuwa desturi yake akajadiliana nao sabato tatu mfululizo, akatumia maandiko matakatifu.

Inglés

and paul, as his manner was, went in unto them, and three sabbath days reasoned with them out of the scriptures,

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ikiwa imepangwa, kunja mistari ikiwa maandiko yanakuwa ni mapana sana

Inglés

if set, wrap lines if the text becomes too wide.

Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Suajili

hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika i'liyyin.

Inglés

indeed, the record of the righteous is in 'illiyyun.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hasha! hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika sijjin.

Inglés

indeed the ledger of the wicked will be in (the lowest depths) sijjin.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kama maandiko yasemavyo: "aliyekusanya kwa wingi hakuwa na ziada, na yule aliyekusanya kidogo hakupungukiwa."

Inglés

as it is written, he that had gathered much had nothing over; and he that had gathered little had no lack.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

hapo yakatimia maandiko matakatifu yanayosema, "aliwekwa kundi moja na waovu."

Inglés

and the scripture was fulfilled, which saith, and he was numbered with the transgressors.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

hasha! hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika i'liyyin.

Inglés

surely the ledger of the pious will be in 'illiyun (heights above the heights).

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

maana kristo hakujipendelea mwenyewe; ila alikuwa kama yasemavyo maandiko: "kashfa zote walizokutolea wewe zimenipata mimi."

Inglés

for even christ pleased not himself; but, as it is written, the reproaches of them that reproached thee fell on me.

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kama maandiko yasemavyo: "kila binadamu ni kama nyasi, na utukufu wake wote ni kama maua ya porini. nyasi hunyauka na maua huanguka.

Inglés

for all flesh is as grass, and all the glory of man as the flower of grass. the grass withereth, and the flower thereof falleth away:

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

hapo ndipo taifa lote la israeli litakapookolewa, kama yesemavyo maandiko matakatifu: "mkombozi atakuja kutoka sioni, atauondoa uovu wa yakobo.

Inglés

and so all israel shall be saved: as it is written, there shall come out of sion the deliverer, and shall turn away ungodliness from jacob:

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,777,793,393 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo