Usted buscó: kilakitu kuhusu uchaguzi (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kilakitu kuhusu uchaguzi

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

kuhusu uchaguzi mkuu, othman alifikiri:

Inglés

regarding the general election, othman observed:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

botswana inaongea neno tofauti kuhusu uchaguzi wa zimbabwe.

Inglés

botswana speaks different word on zim elections.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa habari zaidi, angaliaukurasa maalum wa gv kuhusu uchaguzi wa naijeria.

Inglés

for more coverage, check out gv's special page on the nigerian election.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

labda hata mimi anaandika kuhusu uchaguzi wa tanzania na jumuiya inayokua ya teknolojia:

Inglés

labda hata mimi writes about tanzania election and the growing tech community:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

naijeria: wanablogu wa ki-naijeria wanasema nini kuhusu uchaguzi wa mwaka 2011?

Inglés

nigeria: what are nigerian bloggers saying about the 2011 elections? · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

makala hii ni moja ya makala maalum za global voices kuhusu uchaguzi mkuu wa india wa 2009.

Inglés

this post is part of the global voices special coverage on indian elections 2009

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa nini vyombo vikuu vya habari vya kimagharibi havikwambii kuhusu uchaguzi huo wa amani wa lesotho?

Inglés

why is western mainstream media not telling you about lesotho's peaceful election?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lee kin mun anaandika kuhusu uchaguzi wake wa kuwa “baba wa blogu” ya singapore yaani mrbrown:

Inglés

lee kin mun writes about his choice to become singapore's "blogfather" mrbrown:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

mkenya david ogara (@david_ogara) alifanya hitimisho chungu kuhusu uchaguzi wa afrika:

Inglés

kenyan david ogara (@david_ogara) came to a bitter conclusion about elections in africa:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika kituocha habari cha ufaransa cha france 24, watoa maoni wachache kutoka kongo wametoa maoni yao kuhusu uchaguzi.

Inglés

at the french news site france 24, a few commenters from congo have expressed their opinions on the election.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa mfano, mwandishi wa habari dmitry aleshkovsky aliblogu kuhusu uchaguzi huo katika wilaya ndogo katika jamhuri ya tatarstan kwa kutumia lugha kali:

Inglés

for example, journalist dmitry aleshkovsky blogged about the elections in a small district in the republic of tatarstan in very apocalyptic terms :

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

taasisi ya utafiti wa sera za umma (ippr) vilevile ilitumia mitandao ya kijamii kama facebook kuwaruhusu watu kutoka duniani kote kueleza maoni na mawaoz yao kuhusu uchaguzi wa namibia.

Inglés

the institute for public policy research (ippr) also used social networks such as facebook to allow people from all over the world to express their views and opinions about namibian elections.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

@fanamokoena: inasikitisha kwamba vyombo vya habari vya afrika kusini vinatupa habari za mara kwa mara kuhusu uchaguzi wa ufaransa lakini vinashindwa kufanya hivyo kwa nchi jirani ya lesotho.

Inglés

@fanamokoena: it's embarrassing that sa media gives us daily updates on french elections but fail to do the same for sister country lesotho.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

michel taube, mkurugenzi wa tovuti ya habari inayotumia lugha ya kifaransa "l'opinion internationale" alielezea upinzani wa serikali ya ufaransa kuhusu uchaguzi huo:

Inglés

michel taube, director of the french-language current affairs website "l'opinion internationale" explained the position of the french government on the poll:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kikundi cha wanablogu kilipewa mafunzo na penplus bytes, taasisi ya kimataifa ya uandishi wa teknohama kwa ushirikiano na new media insitute kwa lengo la kuangalia na kutoa maoni yao kuhusu uchaguzi huo kwa kutumia blogu, teknolojia ya twita na simu za viganjani.

Inglés

a group of malawian bloggers were trained by penplusbytes, an international institute of ict journalism in collaboration with new media institute to monitor and comment on the elections using blogs, twitter and mobile phones.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa mujibu wa magazeti ya uganda, ghasia katika chuo kikuu cha makerere, chuo kikuu kikubwa zaidi nchini uganda, zilianza baada ya wanafunzi wawili kupigwa risasi na mmoja kujeruhiwa vibaya na mlinzi wa usalama usiku wa jumatatu wakati wa mkutano kuhusu uchaguzi wa wanafunzi.

Inglés

according to ugandan newspapers, the riots at makerere university, uganda's largest university, began after two students were shot dead and another critically injured by a security guard monday night during a meeting about the current student guild elections.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kutofurahishwa kwa al omran kulichochewa zaidi baada ya saudi aggie, mwanafunzi mwenye jina la nathan wa chuo kikuu cha sayansi na teknolojia cha mfalme abdulla (kaust) kilichofunguliwa hivi karibuni alipoleta malalamiko kwamba gazeti hilo limetumia picha zake pamoja na uchambuzi wake kuhusu uchaguzi wa wanafunzi hivi majuzi.

Inglés

al omran's distaste was further fueled after saudi aggie, a student named nathan at the newly opened king abdulla university of science and technology (kaust) raised the alarm that the paper had used his photographs and coverage of the recent students elections.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,788,870,498 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo