Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kijijini kwangu watakwambia alisaidia kupunguza vumbi kwenye barabara zao kwa sababu tangu aingie madarakani hakuna mtoto wao aliwahi kufaulu kimasomo, na kupata kazi inayolipa kumwezesha kununua hata gari.
in my village they will tell you he has actually helped reduce the dust on their roads because ever since he came to power none of their children has excelled academically, got a well paying job and bought a car.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mitazamo potofu kuhusu wakorea kusini inaendelea kusambaa kwenye habari zinazotangazwa kuhusu kivuko kilichozama na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 200, wengi wao wakiwa ni vijana wa shule waliokuwa kwenye safari ya kimasomo.
stubborn stereotypes about south koreans prevail in much of the reporting on a capsized ferry that led to the deaths of more than 200 people, most of them teenagers on a school trip.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: