Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
mafuta ya kitani
flaxseed oil
Última actualización: 2021-10-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
yosefu akauchukua ule mwili akauzungushia sanda safi ya kitani,
and when joseph had taken the body, he wrapped it in a clean linen cloth,
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
majeshi ya mbinguni yalimfuata yakiwa yamepanda farasi weupe na walikuwa wamevaa mavazi ya kitani, meupe na safi.
and the armies which were in heaven followed him upon white horses, clothed in fine linen, white and clean.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kisha, akaushusha mwili huo kutoka msalabani, akauzungushia sanda ya kitani, akauweka katika kaburi lililokuwa limechongwa kwenye mwamba, ambalo halikuwa limetumika.
and he took it down, and wrapped it in linen, and laid it in a sepulchre that was hewn in stone, wherein never man before was laid.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
"palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau, na ya kitani safi, na kufanya sherehe kila siku.
there was a certain rich man, which was clothed in purple and fine linen, and fared sumptuously every day:
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
amepewa uwezo wa kujivalia nguo ya kitani safi, iliyotakata na yenye kung'aa!" (nguo hiyo ya kitani safi ni matendo mema ya watu wa mungu.)
and to her was granted that she should be arrayed in fine linen, clean and white: for the fine linen is the righteousness of saints.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
hakuna tena wa kununua dhahabu yao, fedha, mawe ya thamani na lulu, kitani na nguo za rangi ya zambarau, hariri na nguo nyekundu; vyombo vya kila aina ya miti ya pekee, vyombo vya pembe za ndovu, vya miti ya thamani kubwa, vya shaba, chuma na marmari;
the merchandise of gold, and silver, and precious stones, and of pearls, and fine linen, and purple, and silk, and scarlet, and all thyine wood, and all manner vessels of ivory, and all manner vessels of most precious wood, and of brass, and iron, and marble,
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: