Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
wael ghonim alitwiti kuhusu kitumizi kipya kwa ajili ya kuhakikisha morsi anawajibika kutimiza ahadi zake na kufuatilia kila hatua ya namna ya utimizaji wa ahadi hizo:
wael ghonim tweeted about a new application for that.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kitumizi hiki kimebuniwa na zabatak, (@zabatak),ni mkakati usio wa kimaslahi wenye lengo la kuifanya misri isiwe na hongo, wala isiwe na rushwa na iwe salama.
the application is created by zabatak, (@zabatak), a non-profit initiative which aims at making egypt become bribery free, corruption-free and safe.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
na katika ukurasa wa facebook, wa kipimio cha morsi,wanaelezea kitumizi hiki kama ifuatavyo: huu ni mkakati wa kurekodi na kufuatilia utendaji wa raisi mpya wa misri, mohammed morsi, na tutafuatilia kila litakalotimizwa kwa yale yote aliyoyaahidi katika mpango wake kwa muda wa siku 100 za kwanza akiwa madarakani.
and on morsimeter's facebook page, they describe the application as follows : the is an initiative to document and monitor the performance of the new egyptian president, mohammed morsi, and we will monitor what has been achieved from what he had promised in his program during his first 100 days in power.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: