Usted buscó: kombora (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kombora

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

mh17 ilitunguliwa kwa kombora la buk ikitokea amsterdam kuelekea kuala lumpur.

Inglés

mh17 was en route to kuala lumpur from amsterdam when it was shot down by a buk missile.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

jijini aleppo, anatembelea mahali ambako kombora lilianguka siku zipatazo 45 zilizopita.

Inglés

in aleppo, she visits the site where a scud missile fell some 45 days earlier.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

jenan moussa akiwa aleppo, mahali ambako kombora la scud lilianguka siku 45 zilizopita.

Inglés

jenan moussa in aleppo, at the site where a scud missile fell 45 days earlier.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

@jenanmoussa: mapema leo nilienda kwenye eneo ambako kombora la scud lilidondoka siku zipatazo 45 zilizopita hapa aleppo.

Inglés

@jenanmoussa: earlier today i went to site where scud missile fell 45 days ago in #aleppo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

syria - aleppo - 09/23/2012 – uharibifu uliotokana na kutupwa kwa bomu la kushtukizwa pamoja na kombora zito.

Inglés

syria - aleppo - 09/23/2012 - destruction as a result of jet raid bombing and heavy shelling.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wanatumia silaha mpya… zinatisha sana… wakati zikipita angani… utazisikia ziko karibu sana na wewe… zinakuja, zinakuja kuniua, sasa hivi… hivi ndivyo unavyofikiri… inatisha mno… nakubali kwamba sijali tena… nimeshazoea zile silaha za zamani… na sasa inanibidi nizizowee na hizi pia… siwezi kukuelezea kwa maneno ukali wa vitisho hivi… ni kama kombora linaloelekezwa kwako… na mlio wake… mlio wa ndege angani ikikuelekea… ikiongeza sauti kadri inavyokukaribia zaidi… ikesha inapita juu ya vichwa vyetu… sote tumelala chini…

Inglés

they're using new weaponry ... very frightening... as it goes through the air... you hear it very close to you... it's going to come, it's going to kill me, now now now... that's what you think of... it's terrifying... i admit not to care... i have gotten used to the old weaponry... now i have to get used to this one too... i cannot describe in words to you the extent of its terror... like a rocket being projected onto you... and the sound... the sound of a plane in the air coming towards you... magnifying its sound the closer it gets... then it passes above our heads... we are all on the floor

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,788,601,354 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo