Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
au mkuu wa shule ambaye ni padri, ambaye anafuja fedha za shule kwa kutumia hundi na mahesabu ya kughushi?
or a principal of a school,who is a priest, who embezzles school money through fake bills and accounting?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ikiwa ahmadinejad anataka kughushi katika uchaguzi ujao, basi heri atafute mtu makini wa kumsaidia katika kugushi pasipo kugundulika kwa urahisi.
if ahmadinejad wants to fake the next election, he'd better employ someone who does it less obviously.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
cheti chenyewe kinatia mashaka makubwa na kinadhaniwa kuwa ni cha kughushi, tena kimejaa makosa ya kiuandishi na wakati huo huo majina yanayoonekana kwenye saini wala si ya yeyote miongoni mwa wanaofundisha katika kitivo cha sheria cha chuo hicho!
a degree so suspicious that is feared to be faked, with grammar mistakes and with names signing it who are not even members of the faculty of law!
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: