Usted buscó: kujitafutia (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

kujitafutia

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

kinyume cha kufanya hivyo ni kujitafutia utukufu binafsi.

Inglés

the opposite would be seeking for personal glory.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kimya cha srikali kimesabbaisha watu kujitafutia namna ya kujisaidia wenyewe, lakini kwa bahati mipango inayoanzishwa na watu wenyewe imesaidia kuwapatia misaada na jitihada za kusaidia kuuhabarisha umma zinaongezeka.

Inglés

government ineptitude has left people to fend for themselves in many cases, but luckily citizen initiatives to deliver aid and help inform the public are multiplying.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

raia wengi wa mtandao hawakujali kuwa serikali ya kihispania ilikuwa imelipa fidia kwa ajili ya wafanyakazi hao na wakaonyesha kutoridhika kwao, wakati mwingine wakiwalaumu wafanyakazi hao kwa kutokuogopa hatari na kujitafutia matatizo yao wenyewe.

Inglés

many netizens took for granted that the spanish state had paid the ransom for aid workers and expressed their dissatisfaction, sometimes accusing the aid workers of being reckless and seeking their own misfortune.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

endapo uendelezaji wa shughuli za kilimo utapungua kwa sababu ya uhaba wa maji, watu wengi zaidi kutoka maeneo ya vijijini watatiririka kwenda el alto kujitafutia maisha, ambapo watakumbana na tatizo lile lile la uhaba wa maji na papo hapo wakiongeza mahitaji ya maji.

Inglés

if sustainable agricultural activities decrease because of the lack of water, many more rural residents may seek opportunities in el alto, where they may face similar water shortages, while raising demand.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

@dima_khatib: tulichokikosa kwa muda sasa ni mgombea urais wa marekani kuitumia syria katika kampeni zake za uchaguzi kwa lengo la kujitafutia umaarufu wa kisiasa kwa madai kwamba yeye ni bora kuliko obama!!!

Inglés

@dima_khatib: all we had missing was a us presidential candidate using syria in his election campaign to promote himself under the pretext that he is better than obama!!!

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,794,109,418 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo