Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
na zinazo vuma kwa kasi!
and by the winds that blow violently,
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
unafanya moyo wangu kupiga kwa kasi
single beat of my heart
Última actualización: 2021-08-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kuachiwa kwetu huru kulikuwa kwa kushangaza kama ilivyokuwa kushikiliwa kwetu.
our release was as surprising as our detention.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
na tukateremsha maji yanayo anguka kwa kasi kutoka mawinguni,
>from the rain clouds we send waters pouring down in abundance,
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
mategemeo katika uvunaji wa gesi nchini tanzania yanaongezeka kwa kasi kubwa.
but expectations surrounding gas exploration in tanzania are soaringly high.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hata hivyo, theluji ya chacaltaya imeanza kupungua kwa kasi inayotisha na kali sana.
however, chacaltaya's glacier has been receding at a worrisome and rapid pace.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
katika twita alama #sakingspeech ilikuwa mada inayoenea kwa kasi ulimwenguni kote.
on twitter, the hashtag #sakingspeech became a worldwide trending topic.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
idadi ya wanafunzi imeongezeka kwa kasi, lakini idadi ya wahadhiri na vifaa vya kufundishia havijaongezeka.
student numbers have expanded sharply, but the number of lecturers and teaching resources have not.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
fununu na majungu, ambayo ni mambo muhimu jijini conakry, yanazidi kumea kwa kasi.
the rumors and gossip, which are the very essence of conakry, keep going strong.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
bahati haikuwa yake, kwa sababu alipokaribia dirisha la upande ambapo msichana alikuwa amekaa, matatu ikaondoka kwa kasi.
luck was not on his side, since as soon as he got to the window next to where she sat, the matatu sped off.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hiyo ilikuwa ni pamoja, kama anavyosema yeye, na mipango ya kuingiza kizazi kipya kinachoweza kuendana na vita vya jihad vinayobadilika kwa kasi.
that includes, as he put it, plans to install a whole new generation who can interact with fast-moving jihadist warfare.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
masuala yaliyotazamwa katika jumla ya matukio ya covid-19 yalipendekeza kwamba janga hili kubwa linaongezeka kwa kasi inayoweza kulinganisha katika nchi zote.
the observed trends in the cumulative incidence of covid-19 suggest that the pandemic is progressing at a comparable speed in all countries.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kutokana na kuendelea kwa kasi kwa utafiti kuhusu covid-19, masuala mengi muhimu bado hayajatatuliwa, kama ifuatavyo:
given such rapid progress in research on covid-19, several critical issues remain to be solved, as follows:
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hali ilizidi kuwa mbaya kwa kasi sana pale uongozi ulipotishia kuita vikosi vya usalama ili kuvunjilia mbali mgomo huo baridi, lakini wafanyakazi walithibitisha kwamba walikuwa imara na kuwa wangeendelea na mgomo wao mpaka matakwa yao yatimizwe.
the situation escalated rapidly when the administration threatened to call state security to break the sit-in, but employees confirmed they will continue their open strike till their demands are fulfilled.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hali iliyopo nchini italia na masuala yanayoendelea sasa katika nchi nyingine yanaonyesha kwamba janga kubwa la covid-19 linaongezeka kwa kasi katika eu/eea na uingereza.
the experience from italy and the current trends in other countries show that the covid-19 pandemic is progressing rapidly in the eu/eea and the uk.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kampuni za utengenezaji mifumo inayoendesha kompyuta na majengo ya mabunge sehemu mbalimbali duniani bado yanatawaliwa na wanaume, lakini jambo hili sasa linabadilika kwa kasi kubwa, yote ni kwa sababu ya kizazi kipya cha wanawake wanateknolojia, wanaharakati na wanasiasa.
software companies and parliamentary buildings around the world are still mostly dominated by men, but this is changing quickly thanks to a new generation of women technologists, activists, and politicians.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kama mtu ambaye ndiyo mara yake ya kwanza kwenda rwanda, ni vigumu mtu kutoshangazwa na kutoshabihiana kati ya matukio ya kutisha sana yaliyotokea miaka 15 iliyopita na hali inayoonekana kuwa ya utulivu mkubwa na ustawi wa aina yake inayotawala sasa nchini humo, ambapo nchi hiyo inaonekana kuwa kiini cha uchumi unashamiri kwa kasi wa afrika ya mashariki.
as i first-time visitor to rwanda, it’s hard not to be mystified by the mismatch between the ferocious events of just 15 years ago and apparent calm and prosperity in rwanda, which aspires to be the hub of an economically vibrant east africa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
jumla ya matukio ya visa vya ugonjwa wa virusi vya korona (covid-19) yanaonyesha mshabaha katika nchi za muungano wa ulaya/eneo la kiuchumi la ulaya na uingereza kuthibitisha kwamba, katika kiwango tofauti kwa kutegemea nchi husika, janga la covid-19 linaendelea kua kwa kasi katika nchi zote.
the cumulative incidence of coronavirus disease (covid-19) cases is showing similar trends in european union/european economic area countries and the united kingdom confirming that, while at a different stage depending on the country, the covid-19 pandemic is progressing rapidly in all countries.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.