Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
michoro ya kumwonyesha mubarak kabla na baada ya mapinduzi ya januari 25, imechorwa na carlos latuff
mubarak before and after jan25 revolution, illustration by carlos latuff
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
aliporudi lusaka, ikulu ilijaribu kumwonyesha akiendelea na majukumu yake ya kazi kama kawaida na hata kuchapisha picha zake akiongoza kikao cha baraza la mawaziri.
upon his return to lusaka, the president’s office tried to show him as working normally and even posted pictures of him chairing a cabinet meeting.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
maana hakuna binadamu yeyote anayekubaliwa kuwa mwadilifu mbele yake mungu kwa kuishika sheria; kazi ya sheria ni kumwonyesha tu mtu kwamba ametenda dhambi.
therefore by the deeds of the law there shall no flesh be justified in his sight: for by the law is the knowledge of sin.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
@a_abdulaziz300: niliachiliwa kutoka kituo cha polisi cha kusini baada ya mpelelezi wa polisi kunituhumu kwa kumwonyesha tabia zisizokubalika
@a_abdulaziz300: i was just released from the southern police station after a secret police member had accused me of inappropriate behavior toward him.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
basi, petro akaenda pamoja nao. alipofika alipelekwa ghorofani katika kile chumba. huko wajane wengi walimzunguka petro wakilia na kumwonyesha makoti na nguo ambazo dorka alikuwa akitengeneza wakati alipokuwa hai.
then peter arose and went with them. when he was come, they brought him into the upper chamber: and all the widows stood by him weeping, and shewing the coats and garments which dorcas made, while she was with them.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad: