Usted buscó: kushangaza (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

kushangaza

Inglés

chubby

Última actualización: 2015-07-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mambo ya kushangaza

Inglés

curious

Última actualización: 2020-06-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ya kutisha na ya kushangaza

Inglés

perfectly and wonderfully made

Última actualización: 2021-01-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kuna kitu cha kushangaza kuhusu hilo.

Inglés

there is something ironic about that.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

upendo wa mungu ni wa kushangaza

Inglés

how do you view gods love in magnificent

Última actualización: 2022-04-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

habari za kushangaza kutoka afghanistani.

Inglés

amazing news from afghanistan.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hata hivyo hiyo haifanyi hali hiyo isiwe ya kushangaza.

Inglés

doesn't make it any less shocking or horrifying.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

na kwa hali ya kushangaza ni umaarufu wa mtandao wa linkedin.

Inglés

more surprising is the strong popularity of linkedin.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ilitokea, mwisho wa siku, lakini kwa namna ya kushangaza.

Inglés

it happened, at the end of the day, but in a tumultuous way.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kuachiwa kwetu huru kulikuwa kwa kushangaza kama ilivyokuwa kushikiliwa kwetu.

Inglés

our release was as surprising as our detention.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

cha kushangaza, seramu kutoka wagonjwa wanaopona wa sars ziliweza kuangamiza wiv1.

Inglés

intriguingly, sera of convalescent sars patients were capable of neutralizing wiv1.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

picha zilizotafutwa na kuwekwa kwenye twita zinaweza kuleta mambo ya kushangaza.

Inglés

a simple search for pictures posted on twitter can bring up amazing things.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika hali ya kushangaza, nafasi hiyo haikujazwa kwa zaidi ya miezi miwili baadae.

Inglés

strangely, the position has not been filled more than two months later.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa hiyo lilikuwa tukio la kushangaza kwamba padre mkatoliki alikamatwa na kisha kufukuziwa mbali na tukio la hivi karibuni la ushughulikiaji wanaoinjilisha.

Inglés

so it came as a surprise that a catholic priest was also detained and then exported during last week's crackdown.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hivi leo, si habari za kushangaza tena kusikia kuwa siku fulani serikali imesitisha huduma katika taasisi za serikali kwa sababu ya uchafuzi wa hewa.

Inglés

it is no longer surprising news when the government some days shuts down public institutions due to air pollution.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

pamoja na vyombo vya habari vya kijamii kutumika sana, siyo jambo la kushangaza kwamba uchaguzi huu umekuwa ukijulikana kama uchaguzi wa vyombo vya habari vya kijamii

Inglés

with social media so widely used, it is not a surprise that this election has been dubbed the social media election.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hapa chini unaweza kusoma mifano minane ya baadhi ya nukuu za kukumbukwa na kwa hakika za kushangaza zilizowahi kutolewa na wanasiasa wa malysia katika miaka ya hivi karibuni:

Inglés

below are eight examples of some of the memorable and shocking sound bites by malaysian politicians in recent years:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ni hali ya kushangaza'- @sanjuncssr #yolandaph — tudla productions (@tudlaprod) novemba 13, 2013

Inglés

it's disorienting' - @sanjuncssr #yolandaph — tudla productions (@tudlaprod) november 13, 2013

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

dhima ya vyombo vipya vya habari safari hii ilibadilika kidogo kulinganisha na matukio yenye kushangaza (kama maandamano ya kupinga utawala ya moldova au irani).

Inglés

the role of the new media changed slightly this time compared to other dramatic events (like the protests in moldova or iran).

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

maeneo mengi maarufu ya ajentina yaligeuzwa kuwa maeneo ya sherehe, na katika hali ya kushangaza, wa-ajentina waliokuwa kwenye ufukwe wa copacabana nchini brazili walisherehekea pia:

Inglés

the most iconic locations in argentina were transformed into party venues and, unsurprisingly, the argentines at brazil's copacabana beach also celebrated:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,743,899,900 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo