Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
nilikuwepo kushuhudia nchi nzuri iliyoungana.
#2010memories #iwasthere to witness a beautiful country united.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kila mmoja ana haki ya kushuhudia jambo.
everyone has the right to bear witness.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
na mwenyezi mungu ni mwenye kushuhudia kila kitu.
allah is a witness over everything.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
hakika mwenyezi mungu ni mwenye kushuhudia kila kitu.
allah is watchful over everything.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
sitaweza kuendelea kushuhudia damu inavyomwagika halafu nikaa kimya.
i’m not going to witness all this bloodshed and keep quiet.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
akasema: basi shuhudieni, na mimi ni pamoja nanyi katika kushuhudia.
he said, "then bear witness, and i am with you among the witnesses."
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 3
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
tumeweza kushuhudia gharama ya uhuru wa kujieleza kwa namna iliyotugharimu kupita kiasi.
we were able to witness the price of freedom of expression is dearly expensive.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wengi wanafurahi kushuhudia siku za mwisho za uongozi katika siasa wa chama cha muslim brotherhood.
many are happy to see the end of the muslim brotherhood's days at the helm of egyptian politics.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mwenyezi mungu ameyadhibiti, na wao wameyasahau! na mwenyezi mungu ni mwenye kushuhudia kila kitu.
allah had enumerated it, while they forgot it; and allah is, over all things, witness.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
naweza kushuhudia kwamba walikuwa wakarimu kadiri ya nguvu zao na hata zaidi. kwa hiari yao wenyewe,
for to their power, i bear record, yea, and beyond their power they were willing of themselves;
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
alikuwa amerudi myanmar mara kadhaa na kushuhudia mabadiliko ambayo yametokea katika nchi hiyo katika miaka ya karibuni:
he has since then returned to myanmar several times and he witnessed the changes that have taken place in the country in recent years:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mashabiki wa soka kote ulimwenguni walikusanyika kwenye kumbi za baa na migahawa ili kushuhudia mechi ya fainali za kombe la dunia usiku wa jumapili iliyopita.
soccer fans gathered in bars and restaurants around the globe to watch the final game of the world cup last night.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
na daud na suleiman walipo kata hukumu katika kadhiya ya konde walipo lisha humo mbuzi wa watu usiku. na sisi tulikuwa wenye kushuhudia hukumu yao hiyo.
and (remember) dawud (david) and sulaiman (solomon), when they gave judgement in the case of the field in which the sheep of certain people had pastured at night and we were witness to their judgement.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
israel yoroba jijini abidjan anaripoti kuhusu msongamano huo wa kutisha wakati watu wengi wakiwa wamekusanyika kusubiri kushuhudia milipuko ya fataki kuashirika mwaka mpya katika wilaya ya plateau.
israel yoroba in abidjan reports on a lethal stampede as people gathered to watch fireworks at the plateau district to ring in the new year.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
harraca alilieleza gazeti la ajentina clarín kwamba baada ya kuthibitisha kwamba walikuwa wamekata tiketi kwa ajili ya kushuhudia mpambano huo wa ajentina, yeye na rafiki zake walitaka kufanya jambo tofauti kusherehekea.
harraca explained to argentinian newspaper clarín that after confirming that they had tickets to see argentina play, him and a group of friends wanted to do something different to celebrate.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ni sehemu ya mazoea ya aina yake afrika kusini na nina hakika kama wageni wetu watahudhuria michezo hii na kushuhudia hali hii ya hewa (iliyojaa kelele ya mavuvuzela) basi watayapenda.
it’s all part of the uniquely south african experience and i’m certain that if our foreign visitors attend the games and experience the electrifying atmosphere they will fall in love with the vuvuzela.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
wananifahamu kwa muda mrefu, na wanaweza kushuhudia, kama wakipenda, kwamba tangu mwanzo niliishi kama mmoja wa kikundi chenye siasa kali zaidi katika dini yetu, yaani kikundi cha mafarisayo.
which knew me from the beginning, if they would testify, that after the most straitest sect of our religion i lived a pharisee.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
@mejdmr: gavana, ould bahia, naibu gavana na polisi walikimbia baada ya kushuhudia hasira ya wafanyakazi hao kwa siku moja walipovamia ofisi ya gavana na kituo cha redio ya taifa.
@mejdmr: the governor, ould bahia, the deputy governor and the police ran away after witnessing the one-day workers anger when they occupied that governorate and state radio headquarters.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
habari mpenzi wangu, nadhani kwamba wewe ni vizuri sana. ninasikitika sana kwamba sikuweza kujibu ujumbe wako kwa wakati. nilikuwa na shughuli nyingi sana katika ofisi ya tume ya kikristo ya kibinadamu. nilipokea zawadi na vitu kutoka kwa shirika (tume ya kikristo ya kibinadamu) na mawazo yako yalikuja akilini mwangu, na niliamua kuwatumia baadhi kama zawadi. kwa kweli sihitaji baadhi ya hizi, kwa hivyo nadhani zinaweza kuwa na manufaa kwako kwa njia fulani. na pia kwa ajili ya wewe kushuhudia katika moyo wako kwamba mimi alikuja kwanza
hello my dear, i assume that you are very well. i am very sorry that i was unable to reply to your message in time. i wasso i think they might be useful to you in some way. and also for you to record in your heart that i came first
Última actualización: 2024-04-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad: