Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
uungwaji mkono kutoka sehemu nyingine duniani ulidhihirishwa kupitia video za kuwakumbuka wanafunzi waliofariki na wale waliokandamizwa.
support from other places in the world was shown through videos to remember the departed and repressed students.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
alimaliza shule ya sekondari ya wasichana karima mwaka 2011 tutaendelea kuwakumbuka mioyoni mwetu daima. tafadhali endelea kutuma wasifu na picha zao
please keep sending their bios and photos pic.twitter.com/9yxligtxgs — #147notjustanumber (@lovefied) abril 6, 2015
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
mafunzo hayo yalikuwa si tu kuwakumbuka wahanga wa tetemeko la ardhi, bali kushughulikia jamii na taratibu za kirasimu za uendeshaji wa shughuli za serikali.
the drill is not only to honor the victims of the earthquake, it's also about society vs bureaucracy.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kwa bahati nzuri, hali ya hewa ilikuwa murua alasiri ya aprili 18, wanafunzi walipoanza kujikusanya kwenye moja wapo ya malango ya kuingilia bustani ya chaoyang ili kuwakumbuka marehemu wa shambulizi hilo la garissa.
fortunately, the weather was good on april 18 in the late afternoon, as the students started to gather at one entrance of chaoyang park to commemorate the victims.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kikundi cha wanafunzi, wengi wao wakiwa wakenya, walikusanyika jijini beijing mnamo aprili 18 kufanya ibada isiyorasmi ya kuwakumbuka watu 147 waliouawa kwenye chuo kikuu kishiriki cha garissa mnamo aprili 2 kaskazini mwa kenya.
a group of students, mostly from kenya, gathered in beijing on april 18 to hold an unofficial candlelight vigil to honor the memory of the 147 people killed at garissa university college on april 2 in northern kenya.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
kampeni ya wanafunzi ilizinduliwa mnamo desemba 7 ili kuwakumbuka wanafunzi wote ambao hawakuweza kurudi katika vyuo vikuu vya iran kwa sababu za kidini na kisiasa: baadhi walizuiwa, wengine walifukuzwa, wengine wako magerezani na wengine waliuawa mitaani.
a student campaign was launched on december 7 to remember all those students who have been unable to return to iran's universities due to religious or political reasons: some banned, others expelled, some in prison and some of them were killed on the streets.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: