Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
jana na leo nilikuwa bangwesi na mafundi mahema
yesterday and today
Última actualización: 2022-03-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
tazama mikono aishikayo na siyo vidole avikanyagiavyo
look at the hands he touches and not the toes he stepped on.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
na wakati huo ile mashua ilikwishafika karibu katikati ya ziwa, lakini ilikuwa inakwenda mrama kwa sababu upepo ulikuwa unaipinga.
but the ship was now in the midst of the sea, tossed with waves: for the wind was contrary.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
alipata elimu yake katika miji ya caracas na maracaibo, lakini ilikuwa ni huko paris ambako kazi yake ilipata mwelekeo wenye nguvu zaidi.
he received his education in the cities of caracas and maracaibo, but it was in paris where his career took a powerful turn.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
muwe na hamu ya mambo ya huko juu, na siyo mambo ya hapa duniani.
set your affection on things above, not on things on the earth.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hii haikuwa ziara ya kwanza ya rais nje ya nchi kukutana na madaktari wa kigeni. lakini ilikuwa ni mara ya kwanza kwa maafisa wa serikali kukiri kwamba rais alikuwa anapata matibabu.
this wasn't the president's first trip abroad to meet with foreign doctors, but it was the first time state officials admitted to sata's medical needs.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
andaa mazingira mazuri ya kijamii na kiuchumi kwa ajili ya malezi na siyo kukataza!!!
create social and economic conditions for parenthood, not restrictions!!!
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
serikali pamoja na mashirika yameweka mbele maslahi yao pekee, na siyo maslahi ya jamii nzima.
the government and corporations prioritize personal interests, not the interests of the people.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
bango linalosomeka: tunataka watoto na siyo atomi. (kutoka sina weibo)
banner reads: we want children, not atoms. (from sina weibo)
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
wanawake hawafungiwi nyumbani na yeyote yule ambaye kwamba hilo ni jambo la utamaduni wa familia na siyo nchi, upo?
women are not locked up at home and any who are is a matter of the family culture not the country, still with me?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
israeli ni lazima ikubali kuwa usalama wake unategemea haki na kuishi salama pamoja na majirani zake, na siyo kwa kutegemea matumizi maovu ya nguvu.
israel must accept that its security depends on justice and peaceful coexistence with its neighbors, and not upon the criminal use of force."
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kuna wengine wanaoilaumu rz kwa kuorodhesha mabloga wenye "siasa laini" na siyo zile ambazo zinatofautiana ana jamhuri ya kiislamu.
some have criticized rz for only listing "politically correct" blogs, and not ones that are against the islamic republic.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
hapo petro, akiwa pamoja na wale mitume wengine, akajibu, "lazima tumtii mungu, na siyo binadamu.
then peter and the other apostles answered and said, we ought to obey god rather than men.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
dadis camara, ofisa wa jeshi wa guinea aliyetwaa madaraka mwezi disemba mwaka jana katika mapinduzi ya kijeshi, alipigwa risasi na mmoja wa wasaidizi wake jana na amesafirishwa kwenda morocco.
dadis camara, a guinean military officer who seized power last december in a coup, was shot yesterday by one of his aides and has been evacuated to morocco.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hata hivyo, ni mageuzi ya kimsingi katika utamaduni mzima wa mashabiki na siyo utambuzi kwamba manyanga yale yalikuwa yanakera,ndiyo yaliyoyaondoa manyanga yale kwenye viambaza."
yet it was a shift in the entire base of fan culture, rather than a simple realisation that rattles were annoying, that removed the rattle from the terraces.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
mungu ni ukweli mtupu; basi, kile tulichowaambia ninyi si jambo la "ndiyo" na "siyo".
but as god is true, our word toward you was not yea and nay.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
kilichotokea mwaka 2005 ilikuwa kwamba madikteta wa kijeshi walioegemea katika ukabila waling'atuliwa na nafasi ilijitokeza ikasimika badala yake utawala wa kiraia uliokuwa na muundo wa nusu-mabavu ambao uliruhusu desturi nyingi za kidemokrasia kwa muda mwingi zaidi, (utawala huo) ulishughulikia zaidi muwafaka wa kitaifa, urejeshwaji wa wakimbizi na maendeleo ya kiuchumi; ingawa siyo hema, lakini ilikuwa bora.
what happened in 2005 was that a military-personal-tribal dictatorship was overthrown and the chance arrived to replace it with a civilian semi-authoritarian structure that respected most democratic norms most of the time, and which made sensible moves towards national reconciliation, refugee return and economic development; not heaven, but infinitely better.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.