Usted buscó: machapisho (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

machapisho

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

machapisho ya ngono

Inglés

sex postions styles

Última actualización: 2024-02-26
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

yafuatayo ni baadhi tu ya machapisho hayo:

Inglés

here are a few of those posts:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

machapisho rasmi kutoka kwa who yaliripoti kuwa dalili za kwanza kuonekana ilikuwa mnamo 8 desemba 2019.

Inglés

official publications from the who reported the earliest onset of symptoms as 8 december 2019.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika machapisho yake ya kila siku, gazeti la le progres ilithubutu kuchapisha ulinganisho wa viwango vya uhalifu katika mataifa mbalimbali

Inglés

in its daily publication, newspaper le progrès dared to publish a comparison of crime rates in the rhône by nationality

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

gabriela anaendeleza makala hii ya blogu yake kwa kuziorodhesha tuzo alizowahi kuzipata enrique kupitia machapisho yake aliyowahi kuyaandika kutokea gerezani:

Inglés

gabriela continues her blog post mentioning the awards enrique has won through his texts written directly from jail:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kila mfasiri amekagua tena na tena rejea zote katika machapisho makubwa yote ya wasifu za watu miongoni mwa zile alizoandika profesa wang hui katika miaka thelathini iliyopita.

Inglés

each translator has checked and double checked all the footnotes in the vast bibliographies of professor wang's publications over the last thirty years.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

haki miliki zilizotajwa na machapisho mbalimbali ya mitandao ya kijamii zinarejelea haki miliki zilizopo za mfululizo wa kijentiki na chanjo kwa aina nyingine ya virusi vya korona kama vile virusi vya korona vya sars.

Inglés

the patents cited by various social media posts reference existing patents for genetic sequences and vaccines for other strains of coronavirus such as the sars coronavirus.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika kushughulikia hali ya ongezeko la idadi ya machapisho kuhusu ugonjwa huu unaoibuka, makala haya yanajaribu kutoa ukaguzi wa muda ufaao na tendeti wa mada hii ya utafiti inayokuwa kwa haraka.

Inglés

in response to the rapidly increasing number of publications on the emerging disease, this article attempts to provide a timely and comprehensive review of the swiftly developing research subject.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

nchini kote, kwenye mabango mengi ya chama cha bn, machapisho na matangazo ya runinga na habari, kile unachoona ni sura yenye tabasamu zuri lenye upole la najib.

Inglés

throughout the country, on the numerous bn’s billboards, printed materials and tv commercials and news, it is najib’s sweet and gentle smiling face that you see.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kutajwa kwa suala la 'uchi au utupu' katika machapisho mengi ya kichina katika siku za karibuni kunaelezea kiwango kikubwa ajabu cha uwazi katika serikali ya mji.

Inglés

the reference to nudity recently found in many chinese publications denotes an unprecedented level of transparency in local government.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

makala hii itakuwa ya kwanza katika mfululizo wa machapisho yatakayojadili namna mbalimbali za kushughulikia suala la kudhibitiwa kwa sanaa hii, kwa kutumia masimulizi ya erika ordosgoitti na wasanii wnegine waliobanwa na masharti na vigezo vya mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na makubaliano ya kijamii.

Inglés

this post will be the first in a series of publications that will address the different ways of dealing with art censorship, based on the stories of erika ordosgoitti and other artists who have been restrained by social networks' terms of service and by social conventions.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

katika jimbo la new york visa vilikuwa zaidi ya watu 100,000 mnamo 3 aprili.ikulu ya marekani imeshutumiwa kwa kutotilia maanani tishio na kudhibiti ujumbe ya maafisa wa afya na wanasayansi kusimamia taarifa ya umma na machapisho yanayohusiana na virusi na ofisi ya naibu wa rais mike pence.

Inglés

in the state of new york the cases have exceeded 100,000 people on 3 april.the white house has been criticized for downplaying the threat and controlling the messaging by directing health officials and scientists to coordinate public statements and publications related to the virus with the office of vice-president mike pence.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

lakini najib razak ni 'mbabe', ambaye haiba yake imejengwa asasi zenye utaalamu mkubwa wa mahusiano ya umma kama apco kwa msaada wa matangazo mengi pamoja na machapisho kibao kwenye vyombo vya habari.

Inglés

but najib razak is a trojan horse, constructed by professional public relations firm like apco with the help of a very compliant broadcast and printing mass media industry.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,794,955,641 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo