Usted buscó: madaraja (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

madaraja

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

nilikuja saudia kujenga madaraja (ushirikiano), sio kutengeneza maadui.

Inglés

i came to saudi arabia to build bridges, not to make enemies.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

tunataka kujenga madaraja katika mabonde yanayotenganisha watu, ili kwamba tuweze kuelewana zaidi.

Inglés

we seek to build bridges across the gulfs that divide people, so as to understand each other more fully.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na tunahitaji madaraja, barabara, michezo, maendeleo ya viwanja, maeneo mapya ya kazi...

Inglés

and we need bridges, roads, sports, industrial development, new work places...

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

huko concepcion, rais alieleza kwamba hatua za muhimu zilikuwa zimekwishaanza kuchukuliwa ili kujenga upaya madaraja, barabara, bandari na viwanja vya ndege.

Inglés

in concepcion, he explained that the necessary measures to reconstruct bridges, roads, ports, and airports were already underway.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mpaka kufikia jana, barabara na madaraja yaliyobomoka viliendelea kulitenga eneo hilo na shughuli za kupokea misaada, jiji ambalo lipo karibu zaidi na kitovu cha tetemeko kuliko lilipo jiji la port au prince.

Inglés

as of late yesterday, broken roads and bridges were still cutting off the area, which is closer to the epicenter than port au prince is, from receiving aid.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

siku yetu ya kufanya kazi ili kuboresha maisha, kujenga madaraja kwenye vikwazo vya kijamii, na kuipeleka nchi yetu karibu zaidi na “jamii pendwa” ambayo dkt.

Inglés

a day for all of us to work to improve lives, bridge social barriers, and move our nation closer to the “beloved community” that dr. king envisioned.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwa kuwa “ueni mashoga” ulikuwa ni kibao kikubwa kwa wabaguzi wakati walipokuwa wanawachoma moto wasagaji, wanaweza kpayuka wimbo huo wakati wakiwatosa mashoga kwenye madaraja kwenda kwenye mashimo ya majitaka.

Inglés

so long as “kill the gays” was a major hit for bigots as they set lesbians alight, they can scream it as they throw the gays off bridges and into manholes.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

utoaji rushwa katika sekta ya maji ni jambo la kawaida na inahusisha madaraja yote ya watu kuanzia mtu wa kawaida, wanasiasa, wakuu wa taasisi ya maji na hata mashirika yasiyo ya serikali wanaofanya kazi katika hii sekta. ripoti juu ya "utoaji rushwa katika sekta ya maji" kupitia mtandao wa uadilifu wa maji katika kitabu chenye jina la "mafunzo ya mwongozo wa uadilifu wa maji " inasema kwamba katika jangwa la sahara afrika, asilimia arobaini na nne (44%) ya nchi haina uwezekano wa kufikia lengo la maendeleo ya milenia la upatikanaji wa maji ya kunywa, asilimia themanini na tano (85%) hawana uwezekano wa kufikia kipengele cha usafi wa mazingira.

Inglés

corruption in the water sector is ripe and involves all classes of people ranging from the ordinary man, politicians, heads of water institutions and even non-governmental organizations working in this sector.report on “corruption in the water sector” by water integrity network in a book titled “training manual on water integrity” states that in the sub-sahara africa, forty-four percent (44 %) of the countries are unlikely to attain the millennium development goal target for drinking water eighty-five percent (85%) are unlikely to attain the sanitation aspect.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,785,192,473 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo