Usted buscó: madumu ya mafuta (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

madumu ya mafuta

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

madumu ya mafuta ya diesel

Inglés

fuel permanent

Última actualización: 2024-02-29
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kuongezeka kwa bei ya mafuta ni ongezeko la kimkakati.

Inglés

the increase in gasoline prices is a tactical increase.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

ongezeko la asilimia 40 kwa bei ya mafuta nyie wadhalimu?

Inglés

a more than 40pc increase in gasoline prices you infidels?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hakukuwa na tamko rasmi kuhusu marekebisho ya bei ya mafuta.

Inglés

there was no official statement about the adjusted petrol price.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wale wapumbavu walichukua taa zao, lakini hawakuchukua akiba ya mafuta.

Inglés

they that were foolish took their lamps, and took no oil with them:

Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wameongoza bei ya mafuta kwa zaidi ya nusu ya bei ya awali, bila bunge.

Inglés

they have increased the price of fuel by more than half, in the absence of a parliament.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

makampuni ya mafuta yaliendelea kuhusiana na wanasayansi kwa malipo yenye kutia shaka.

Inglés

oil companies continue having scientists on their payroll who are willing to sow doubts.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

nakala ya agiz la kupandisha bei ya mafuta kwa zaidi ya mara mbili nchini misri.

Inglés

a copy of the order to more than double the cost of fuel in egypt.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwaka 1998, nchi iliingia kwenye machafuko baada ya mpango wa serikali wa kuongeza bei ya mafuta.

Inglés

back in 1998, the country descended into chaos following the government's plan to increase the fuel price.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

baada ya kuongeza bei ya mafuta na umeme, serikali inataka raia wake wakose kabisa fedha za kujilipua kwa moto

Inglés

after increasing the prices of fuel and electricity, the government wants to guarantee that citizens will not find any money to set themselves on fire

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

miji kadhaa nchini indonesia ilitikiswa na maandamano yenye lengo la kupinga ongezeko la bei ya mafuta katika wiki chache zilizopita.

Inglés

several indonesian cities were rocked by protests against petrol price hikes in the past few weeks.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

si hivyo tu, lakini pia ningependa kukamata mawazo yako juu ya ukweli kuwa nepal inaagiza karibu asilimia 100 ya mafuta yake.

Inglés

not only that, i would also like to catch your attention about the fact that nepal imports almost 100% of its oil.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

mwanzoni, serikali ya indonesia ilikuwa na mpango wa kuongeza bei ya mafuta (petroli) kuanzia tarehe 1 aprili.

Inglés

initially, the indonesian government was planning to raise the petrol price on april 1.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kwenye kundi la facebook la malawi fuel watch (tovuti inayofuatilia hali ya mafuta), raia mmoja wa mtandaoni aliandika:

Inglés

on malawi fuel watch facebook group, one netizen wrote:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

uchomaji wa misitu ni unasemekana kusababishwa na shughuli za kilimo cha mashamba makubwa ya mafuta ya mawese, makubaliano ya uuzaji wa kuni, na mashamba ya mashapo.

Inglés

the burning of forests is blamed on the operations of oil palm plantations, wood suppliers’ concessions, and pulpwood plantations.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kabla tu ya matetemeko huko kaskazini ya malawi, malawi ilikuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa nne kiuchumi katika maeneo ya mafuta, fedha za nje, umeme na maji.

Inglés

just before the earthquakes in northern malawi, malawi was experiencing four major economic challenges surrounding fuel, forex, power and water.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wakati kampuni ya mafuta ya uingereza tullow oil ilipotangaza uvumbuzi wake wa kiasi cha mapipa milioni 600 ya mafuta nchini ghana mwaka 2007, ulimwengu wa wanablogu uliitikia kwa maoni yanayotofautina juu ya matumaini na hali ya kuchelea.

Inglés

when uk firm tullow oil announced its discovery of 600 million barrels of oil in ghana in 2007, the blogosphere responded with variegated tones of hope and cynicism.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

upinzani huu “mara nyingi uliundwa kwa tabaka la matajiri na wasomi ambao kwa miongo kadhaa wamekuwa wakila matunda ya kuishi katika nchi yenye hazina kubwa ya mafuta” anasema.

Inglés

this opposition was "usually composed by an elite class that for decades enjoyed the benefits of living in an oil-rich country," he says.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

badala yake, picha hizo zilikuwa mithili ya mafuta yaliyoongezwa kwenye moto unaowaka, kiasi kwamba baadhi hata wanathubutu kuhoji uhalisi wa mkutano huo kwa sababu hapakuwa na kipande cha rekodi ya sauti na video kuthibitisha madai hayo.

Inglés

instead, the images have further fanned the criticism, and some are doubting the authenticity of the meeting because there is no audio or video footage to back it up.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

pamoja na kuwa hakuna uhusiano wa moja kwa moja na vurugu zilizotokea mtwara, uhusiano uliopo kati ya tpdc na statoil wapelekea wananchi wengi wa tanzania kuongeza umakini wao kwenye masuala ya mafuta na gesi, na pia kuongezeka miongoni mwao kwa kutoridhishwa na namna serikali inavyosimamia mikataba ya rasilimali za asili na namna inavyowashirikisha wananchi.

Inglés

though not directly linked to the protests in mtwara, the tpdc-statoil affair underlines a growing awareness among tanzanians of the issues surrounding oil and gas, and an increasing dissatisfaction with the way the government handles natural resources contracts and communicates this information to citizens.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,793,802,394 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo