Usted buscó: magonjwa ya mlipuko (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

magonjwa ya mlipuko

Inglés

epidemiological

Última actualización: 2016-01-13
Frecuencia de uso: 3
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

magonjwa ya kuambukiza

Inglés

infectious diseases

Última actualización: 2023-08-02
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ni magonjwa ya kuambukiza

Inglés

they are airborne diseases

Última actualización: 2023-09-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

magonjwa ya moyo na mishipa

Inglés

cardiorespiratory diseases

Última actualización: 2020-05-10
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kuvimba, kuambukiza, na magonjwa ya microbial

Inglés

inflammatory, infectious, and microbial diseases

Última actualización: 2024-04-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

asili ya magonjwa ya wanyama ya virusi vya korona vya binadamu

Inglés

zoonotic origins of human coronaviruses

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

vita dhidi ya mlipuko wa ebola inaendela kugeuka kuwa dharura ya kimataifa.

Inglés

the fight against the ebola epidemic is increasingly turning into an international emergency.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

chakula kutoka kwa wanyama, chaweza kusababisha magonjwa ya kuambukiza wanyama wengine

Inglés

products of animal origin may carry pathogens that cause infectious diseases in animals

Última actualización: 2014-02-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kwa mfano, magonjwa ya pumu na copd yalijumuishwa kwenye kategoria ya ugonjwa sugu wa mapafu.

Inglés

for example, asthma and copd were included in a chronic lung disease category.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

matayarisho ya magonjwa ya kuambukizwa na mipango ya mwitikio huweza kufuata mapendekezo ya taifa au eneo fulani.

Inglés

infectious disease preparedness and response plans may be subject to national or subnational recommendations.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hii ni nafasi nyingine kwa wataalamu wa magonjwa ya uzazi kwa wanawake kuneemeka kupitia utoaji mimba wa kificho.

Inglés

another opportunity for gynecologists to underground abortions!!!

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

@cobbo3: ni hatari kwa watu kukusanyika kwenye mtaa wa moi na kimathi baada ya mlipuko huo.

Inglés

@cobbo3: dangerous for pple to gather on moi & kimathi st after #moiavenueblast.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kukandamizwa kwa kinga ya mwili ni muhimu katika matibabu ya mlipuko wa saitokini, hasa kwa wagonjwa walio katika hali mbaya.

Inglés

immunosuppression is essential in the treatment of cytokine storms, especially in severe patients.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mwanzoni viligunduliwa kusambaa miongoni mwa watoto wadogo, watu wazee na wagonjwa ambao kinga zao za mwili zimeathirika waliokuwa na magonjwa ya kupumua.

Inglés

it was initially found to be prevalent in young children, the elderly and immunocompromised patients with respiratory illnesses.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

agizo lilitiwa sahihi na wizara ya elimu kama hatua ya kuzuia lililenga kuzuia kuenea kwa magonjwa ya pumu kuhusiana na janga kubwa la virusi vya korona la who.

Inglés

an order signed by the ministry of education as a preventative measure aims to prevent the spread of respiratory diseases in connection with the who coronavirus pandemic.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

utangulizi wa milipuko ya magonjwa ya asili inaweza kusababisha changamoto za ishara kwa usalama wa kimataifa kwa kudhoofisha uchumi wa kitaifa, biashara ya kimataifa na usafiri, afya ya umma

Inglés

introduction natural outbreaks of disease could pose signifi cant challenges to global security by undermining national economies, international trade and travel, public health

Última actualización: 2024-05-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

akijibu madai kuwa wahamiaji wanachukua nafasi za kazi za wazawa, abi mwachi, daktari wa magonjwa ya binadamu huko mombasa, kenya, alitoa mapendekezo:

Inglés

responding to claims that foreigners take up local jobs,abi mwachi, a medical doctor based in mombasa, kenya, suggested:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

matumizi ya steroids: ilivyofafanuliwa hapa juu, steroids ni vikandamizi vya kinga ambavyo hutumika sana kama tiba ya ziada kwa magonjwa ya kuambukizana ili kupunguza kiwango cha uharibifu wa kuchomeka.

Inglés

use of steroids: as described above, steroids are immunosuppressant commonly used as an adjunctive therapy for infectious diseases to reduce the severity of inflammatory damage.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

imekadiriwa kwamba hcov-nl63 inachangia 4.7% ya magonjwa ya kawaida ya kupumua na hutokea sana nyakati za kipindi cha awali cha kiangazi, mapukutiko na kipupwe.

Inglés

it has been estimated that hcov-nl63 accounts for approximately 4.7% of common respiratory diseases, and its peak incidence occurs during early summer, spring and winter.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

aina mbili za virusi vya korona vya mbwa (ccov) (moja inayosababisha mwako wa tumbo, na nyingine inayopatikana katika magonjwa ya kupumua).

Inglés

the two types of canine coronavirus (ccov) (one causing enteritis, the other found in respiratory diseases).

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Obtenga una traducción de calidad con
7,776,978,761 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo