Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
tope tope
fruit ripe clay
Última actualización: 2018-05-23
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
tunda tope tope
muddy muddy
Última actualización: 2020-05-23
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
siku hiyo yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya sabato.
and it was the sabbath day when jesus made the clay, and opened his eyes.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hata hivyo, kuna hofu kuwa ziwa hilo linakufa na litageuka kuwa ziwa la tope kwa sababu ya shughuli za kibinadamu.
however, there is a fear that the lake is dying and will become marshland through man-made interventions.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
baada ya kusema hayo, akatema mate chini, akafanyiza tope, akampaka yule kipofu machoni,
when he had thus spoken, he spat on the ground, and made clay of the spittle, and he anointed the eyes of the blind man with the clay,
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
bila ya maji walianza kufyonza mawe ili kutuliza kiu, pia walijaribu kunyonya umande kutoka kwenye matope kwa kuweka kitambaa kati ya midomo yao na tope lenye nyevunyevu.
with no water they tried licking rocks to quench their thirst, and also tried sucking up the moisture from the mud, by putting a piece of clothing between their mouth and the moist mud.
Última actualización: 2024-02-21
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
naye akawajibu, "yule mtu aitwaye yesu alifanya tope, akanipaka machoni na kuniambia: nenda ukanawe katika bwawa la siloamu. basi, mimi nikaenda, nikanawa, nikapata kuona."
he answered and said, a man that is called jesus made clay, and anointed mine eyes, and said unto me, go to the pool of siloam, and wash: and i went and washed, and i received sight.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible