Usted buscó: moroko (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

moroko

Inglés

morocco

Última actualización: 2014-04-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

moroko: je, wakristu wako hatarini?

Inglés

morocco: are christians at risk? · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

moroko: mtoto mwanablogu asalimia ulimwengu

Inglés

morocco: a young blogger greets the world · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

picha za uchi huenda kwenye moroko wa moroko

Inglés

picha za uchi bongo kuma za walembo wa moroko

Última actualización: 2017-10-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

mwanablogu larbi analaani unafiki wa serikali ya moroko .

Inglés

blogger larbi denounces the double standards of the moroccan government .

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

moroko: wafanyakazi wa shirika la misaada la kikristu wafukuzwa

Inglés

morocco: christian aid workers expelled · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

moroko: kupinga mateso sehemu moja; kupinga mateso kila sehemu

Inglés

morocco: against torture somewhere; against torture anywhere · global voices

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

anaeleza kwa nini inakuwa vizuri sana kuwa na ‘familia’ nchini moroko:

Inglés

she explains why it's best to have "family" in morocco:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

wainjilisti wamekuwa wakifanya kazi kwa miaka mingi nchini moroko na lengo lao kubwa limekuwa ni kuwaongoa waislamu.

Inglés

evangelicals have operated for years in morocco, with their main purpose being the conversion of muslims.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika miaka michache iliyopita, shutuma za utesaji zimetolewa dhidi ya polisi nchini moroko mara nyingi tu.

Inglés

over the last few years, allegations of torture have been made against the police in morocco on many occasions.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

washabiki wa kimoroko wa obama bado wanaendelea kupiga kampeni ya kumtaka rais obama atoe hotuba yake ya kwanza nje ya nchi nchini moroko.

Inglés

moroccan obama fans are still actively campaigning for president obama to give his first foreign speech in rabat.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

hakuna madai yanayohusu ustawi na uangalizi wa watoto ambayo yametolewa kama jambo la kutia hofu na mamlaka za moroko katika historia ya miaka 10 ya voh.

Inglés

no charges concerning the welfare and care of the children have ever been raised as a concern by the moroccan authorities in the 10 year history of voh.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jambo hili linaendana na yale ambayo nimewahi kuyashuhudia: raia wengi wa moroko wamewahi kufanya mazungumzo kuhusu duni na wamisionari wakristo lakini hakuna walioongoka.

Inglés

this jives with my experience: a number of moroccans i know have had long conversations with christian missionaries about religion and none have converted.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

katika bara la afrika, hata kama kuna maendeleo zaidi nchini kenya, wote tunaona maendeleo pia yanayoonekana katika nchi za afrika kusini, misri na moroko.

Inglés

in africa, even though they have a node in kenya, all we’re seeing is stats on south africa, egypt and morocco.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

akituma ujumbe wa twita kuhusu dhana hiyo, mwandishi wa ki-moroko wa gv hisham g. aliandika muhtasari wa meedan kwa maneno machache:

Inglés

tweeting about the concept, moroccan gv author hisham g. summed up meedan in a few words:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ni zaidi ya masaa 24 tangu wafanyakazi 20 (wengi wao wakiwa ni wazazi) katika kijiji cha matumaini walipohamishwa kutoka kwa watoto wao, bila ya kutarajiwa na maofisa wa moroko.

Inglés

it has been over 24 hours since 20 workers (most, parents) at the village of hope were taken from their children, unexpectedly by moroccan officials.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

wakati ambapo habari hii inaibua masuala muhimu na ya msingi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa na kundi la polisario na utawala wa aljeria, baadhi ya wanablogu walionyesha hasira yao dhidi ya upuuzaji ambao ulifanywa na vyombo vikuu vya habari na serikali ya moroko kuhusu majaliwa ya raia kijana wa moroko, fodeil aberkane.

Inglés

whilst this story raises legitimate concerns over the violation of human rights by the polisario front and the algerian regime, some bloggers expressed outrage over the indifference of local mainstream media and the moroccan government over the fate of a young moroccan, fodeil aberkane.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kuanzia tarehe 4 januari, moroko imekuwa na waziri mpya wa sheria, mohammad naciri, ambaye anahisi ni lazima atumie nguvu zake ili afunge kijiji cha matumaini kwa sababu anaamini “wakristu wanawashawishi watu wabadili dini.”

Inglés

as of january 4th, morocco has a new minister of justice (ironic) mohammad naciri, one who feels he must exercise his power in order to shut down the village of hope because he believes "christians are proselytizing."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,785,222,032 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo