Usted buscó: mtandoni (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

mtandoni

Inglés

food chain

Última actualización: 2012-11-04
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

kwa hiyo kuna tetesi mtandoni kwamba askofu oyedepo yuko katika mchakato wa kuanzisha kampuni ya ndege iitwayo shirika la ndege la dominion.

Inglés

so there is a rumour on the web that bishop oyedepo is in the process of starting an airline company called dominion airlines.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

kwa kutumia chaneli kadhaa za mtandoni, raia hao wa kongo waiishio nje ya nchi yao wameunda majukwaa mbalimbali ya kukuza uelewa miongoni mwa raia wenzao pamoja na wanachama wa jumuiya yao kimataifa.

Inglés

using various online channels, the congolese diaspora have organised several initiatives to raise awareness amongst fellow citizens and members of the international community.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

kuelekea kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi utakaofanyika copenhagen (cop15) mwezi desemba 2009, hizi ni baadhi ya nyenzo za mtandoni za kufuatilia mabadiliko ya tabia nchi.

Inglés

leading up to the climate change conference in copenhagen (cop15) in december 2009, here is a sample of online tools to monitor climate change.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia

Suajili

“vyama vyote vya siasa vimesisitiza uandikishaji kwa njia za vipimo vya kibaiolojia, ambao ni mwanzo wa upigaji kura wa mtandoni na tunachofanya hapa leo kitatusaidia kurekebisha mchakato wa uchaguzi katika siku zijazo, lakini hatuna miundo mbinu inayohitajika kwa utekelezaji wa kasi wa miradi yote muhimu katika kipindi kifupi”.

Inglés

"all political parties have endorsed biometric registration, which is prelude to e-voting and what we are doing here today will help to shape our electoral process in the future, but we do not have the requisite infrastructure for a speedy implementation of the all important projects in the short term”.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Wikipedia
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,748,085,075 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo