Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
niliona kuwa nimelowana na damu lakini damu ile haikuwa yangu.
i saw that i was covered with blood but it wasn't mine.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
niliona kuwa ni mzima na miguu yangu na mikono vuinafanya kazi.
i saw that i am ok and my hand\legs work.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
nikiwa ndani ya basi, niliona wakiendelea kurusha mabomu ya kutoa machozi.
from the bus, i saw they were throwing teargas there as well.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
jioni hii niliona magari ya polisi yakijazwa mafuta na hata kuchukua na ya ziada.
this evening i saw police pickups even loading and stockpiling fuel.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
akasema: niliona wasiyo yaona wao, nikashika gao katika unyao wa mtume.
he said: "i saw what they did not see.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
nilipowasili tarle, niliona baadhi ya watu wakiondoa vitu wao wenyewe kutoka kwenye nyumba zao.
when i arrived in tarle, i saw that some people were clearing the things at their house by themselves.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
niliona kama wavulana watatu au wanne wakiwa kwenye sehemu ya mbele ya gari wakilitingisha kwa nguvu.
i was imagining three or four boys standing on the bumper wanting to swing the car.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ndiyo niki kupigia kwakua niliona call ya numeo .nilimpigia sikumpata.lkn base aliniandikia message kuala hakunipigia
text to that is his no
Última actualización: 2021-01-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
akasema: niliona wasiyo yaona wao, nikashika gao katika unyao wa mtume. kisha nikalitupa.
'i beheld what they beheld not,' he said, 'and i seized a handful of dust from the messenger's track, and cast it into the thing.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
kwenye habari, niliona india wakinguruma katika maandamano wakipinga ubakaji katika magenge katika gari la abiria la delhi.
in the news, i saw india roaring in protest against the gang-rape in a delhi bus.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
mara zote niliona kama jambo la kuvutuia pale marafiki zangu wa kizungu au kiasia walipokuwa wanaongelea adhabu ya kuketi kwenye kona, au walipoamriwa kwenda chambani kama adhabu.
i always found it interesting when my white or asian friends would talk about being told to sit in a corner, or were sent to their room as a form of punishment.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
sababu niliona mwandamanaji akisukumwa chini ya ngazi kadhaa na kubingirita chini, polisi aliyemkanyaga mwandamanaji kwa pikipiki yake na polisi ambaye alikuwa amevaa kofia aliyempiga kichwa mwandamanaji.
because i saw a protester being pushed down a flight of stairs and rolling down, a policemen who ran over a protester with his motorcycle and a policemen wearing a helmet who headbutted a protester.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
mheshimiwa, wakati nilipokuwa njiani, saa sita mchana, niliona mwanga mkubwa kuliko wa jua ukiangaza kutoka mbinguni, ukanizunguka mimi na wale wasafiri wenzangu.
at midday, o king, i saw in the way a light from heaven, above the brightness of the sun, shining round about me and them which journeyed with me.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
nilipokuwa nataka kutoka ndani, mara niliona meza ya kujipodolea ikitikisika, makabati ya jikoni yakitetemeka huku vitu vilivyo ndani vikidondoka chini, wakati huohuo nyumba ilikuwa ikichezacheza utadhani imetengenezwa kwa kitu laini mfano wa mafuta ya mgando.
on my way out, i saw our dresser moving, the kitchen cabinets shake and spit out all sorts of cans, and the house moving as if it was made out of jello.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
niliona ni jambo la ajabu pale aliposema kuwa “hawakutumia vibaya rasilimali za taifa huku wakiwa na ufahamu huo” je, ina maana kuwa walitumia vibaya rasilimali za taifa lakini hawakujua kuwa walikuwa wanafanya hivyo?
i found it interesting when he said they did not “knowingly abuse public resources” that mean they abused public resources but did not know they were doing so?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: