Usted buscó: nimewahi (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

nimewahi

Inglés

nimevifua

Última actualización: 2023-06-16
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

nimewahi tumia

Inglés

word i used in english

Última actualización: 2021-11-02
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

nimewahi kumiliki duka la vinywaji

Inglés

not too far from europe

Última actualización: 2021-01-12
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

nimewahi kuwa na akaunti kama saba tofauti za mtandao wa facebook.

Inglés

i've had about seven different facebook accounts.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

nimewahi kuwaona wakifanya hivyo kwenye ukuta wa vyoo vya umma!

Inglés

i have seen them doing this on the wall of the public toilets!

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ya sera ya nchi za nje ambayo nimewahi kuifanya imehakikishwa kwa njia hii?

Inglés

have ever made become validated this way?

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

nimewahi kuwepo kwenye maeneo yanayofanya kazi kama makao makuu ya shirika la ndege linaloongoza afrika mara kadhaa.

Inglés

i’ve been to the sprawling campus that serves as headquarters to africa’s arguably flagship airline many times.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

nafadhaika, nimewahi kufanya kazi kwenye sehemu niliyodhani ina weledi lakini weledi wake unategemeana na hali ya kisiasa.

Inglés

sadly i used to work in a place which i thought had credibility but its credibility is based on a despicable political stance.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kama mwanafunzi wa sheria, kwa urahisi, hii ni moja ya sababu za kijinga katika uchunguzi wowote wa kisheria ambao nimewahi kuusikia.

Inglés

as a student of law, this is easily one of the most ridiculous grounds for any judicial investigation i have ever heard.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

jambo hili linaendana na yale ambayo nimewahi kuyashuhudia: raia wengi wa moroko wamewahi kufanya mazungumzo kuhusu duni na wamisionari wakristo lakini hakuna walioongoka.

Inglés

this jives with my experience: a number of moroccans i know have had long conversations with christian missionaries about religion and none have converted.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

lakini mara kadhaa niliishia kuvaa suruali ya jeans na juu shati la kipakistani na dupatta hasa tunapotoka, huenda mara nyingi tu kadiri ambavyo nimewahi kuvaa nguo aina ya shalwar kameez.

Inglés

but somehow i've ended up wearing jeans paired with a pakistani shirt and dupatta when we go out probably as many times as i've worn shalwar kameez.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

kule srinagam, nimewahi kuwaona wakikojoa kwenye ukutra wa boma la hekalu pamoja na kuwa kila mtaa unaolizunguka hekalu una vyoo, ambavyo vilikuwa visafi, lakini vya kulipia!”

Inglés

in srirangam, i saw them urinating on the compound wall of the temple even though every street surrounding the temple had toilets, which were clean, but pay toilets!"

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

"nimewahi kukutana na matukio ya baadhi ya kumbi za maonesho kuomba nikaoneshe onesho langu kwao, na baadae kuniarifu kwamba wameghairi kwa sababu ya woga," anasema.

Inglés

"i've had theaters book the show, and then drop it because they were worried," she says.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,800,204,556 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo