Usted buscó: ninafahamu (Suajili - Inglés)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

ninafahamu

Inglés

i understand

Última actualización: 2015-08-18
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ninafahamu kwamba maneno matamu ni maneno matamu tu.

Inglés

ultimately, i know that rhetoric is just rhetoric.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ninafahamu jinsi wawakilishi kutoka zedi wanavyoogopwa mle kwa sababu ya uwezo wao mkubwa.

Inglés

i equally aware that zedian housemates are currently feared because of their potential.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ninafahamu kwamba nina bahati sana kwamba nikifa, nitakumbukwa na marafiki na wapendwa wangu.

Inglés

i know that i am fortunate enough that when i do die, i will be remembered by friends and loved ones.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

ninafahamu kutokana na uzoefu wangu mdogo kwenye biashara kuwa, kutokana na nguvu zao za kiushawishi kote nyumbani na nchi za nje, ingechukua sim utu kwa akina rawlings ili kupata nyumba yenye heshima na ya kufaa sehemu yoyote nchini ghana.

Inglés

i know from my little experience in business that, with their kind of influence both home and abroad, it would take just a phone call for the rawlingses to acquire a respectable and appropriate freehold residential accomodation anywhere in ghana.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo

Suajili

baada ya kuziangalia picha za mke wa rais wa cameroon, mmisri zeinobia anasema: “sijui ni ni kiasi gani cha pesa alichotumia kwa ajili ya nywele zake na muonekano wake lakini ninafahamu kuwa watu wa camerron wanazihitaji zaidi hizo pesa.”

Inglés

after seeing pictures of cameroon's first lady, egyptian zeinobia remarks: "i do not how much money she spent on her hair and her looks but i know the people of cameroon need this money more."

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Referencia: Anónimo
Advertencia: contiene formato HTML invisible

Obtenga una traducción de calidad con
7,744,173,106 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo