Usted buscó: rudi kwa matokeo yote (Suajili - Inglés)

Traducción automática

Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.

Swahili

English

Información

Swahili

rudi kwa matokeo yote

English

 

De: Traducción automática
Sugiera una traducción mejor
Calidad:

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Suajili

Inglés

Información

Suajili

na wanapo rudi kwa watu wao hurudi nao wamefurahi.

Inglés

and when they returned to their folks they would return amused,

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

hapa chini anaonya kuhusu uwezekano wa kutokueleweka kwa matokeo ya utafiti wa esri:

Inglés

below he warns against a possible misunderstanding of esri's results:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

trini inapendekeza kwamba kutolewa kwa matokeo haya kunaweza kuchukuliwa kuwa ni ya kiwango cha chini, na yamekuja kwa kuchelewa.

Inglés

a trini speaks suggests that the release of the findings may be a case of too little, too late.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

wafanyakazi wasimamizi au matibabu wanaosimba: ili kuhimiza kusimbwa kwa matokeo kwa kisa chochote kinachoshukiwa, ikiwa ni pamoja na kusimba matokeo hasi ya kutojumuisha

Inglés

administrative staff or clinicians who code: to encourage consistent coding of results for any suspected cases, including coding of negative results for exclusion

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

na yusuf akawaambia watumishi wake: tieni bidhaa zao katika mizigo yao, ili wazione watakapo rudi kwa watu wao wapate kurejea tena.

Inglés

and (joseph) told his servants to put their stock-in-trade (with which they had bartered) into their saddle-bags, so they should know it only when they returned to their people, in order that they might come back.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

zaidi ya watu 100,000 waliandamana mjini tehran jumatatu iliyopita ili kumuunga mkono mgombea urais mwanamageuzi, mir hussein mousavi pamoja na madai yake ya kuataka kubatilishwa kwa matokeo ya uchaguzi ambayo yalimtangaza rais aliye madarakani mahmoud ahmadinejad kama mshindi katika uchaguzi wa tarehe 12 juni.

Inglés

more than 100,000 people marched in tehran on monday in support of reformist presidential candidate, mir hussein mousavi and his demands for an annulment of the election results that declared incumbent president mahmoud ahmadinejad the winner of the election on june 12.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

marekebisho haya kulingana na watafiti yaliendeleza kazi ya kutafuta kifurushi bora cha kugundua asidi ya nyuklea kwa ajili ya upimaji haraka, pamoja na sampuli kutoka kwa njia ya pumu ikiwa ni pamoja na sampuli wa damu, ambayo iliongeza upatikanji wa sampuli tofauti na kusaidia kuletwa kwa matokeo chanya ya antibodi mahususi katika utaratibu uliothibitishwa.

Inglés

these modifications based on the researchers continued work that to search for an optimal nucleic acid detection kit for rapid diagnosis, as well as the samples from respiratory tract including blood sampling, which increased the availability of different specimens, and supported bringing the specific antibody positive result into the confirmed criteria.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Suajili

kutimuliwa kazi mawaziri wawili, kufukuzwa kwa mkuu wa polisi, upelelezi wa njama za silaha pamoja na ukweli kwamba kwa matokeo yoyote, julius malema atayakabili mashitaka yake, vyote hivyo vimetuma ujumbe chanya kwamba afrika kusini haitaruhusiwa kugeuka kuwa nchi ya ulimwengu wa tatu.

Inglés

"the dismissal of two cabinet ministers, the firing of the police chief, the enquiry into the arms deal and the fact that whatever the outcome, julius malema has had to go on trial, have all sent out a positive message that south africa will not be allowed to drift into a chaotic third world state.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Suajili

kufikia tarehe 28 machi 2020, majimbo na himaya za marekani zimeripoti visa 122,653 vya covid-19 nchini marekani kwa cdc, ikiwa ni pamoja na 7,162 (5.8%) ambao kwao kuliripotiwa data kuhusu hali sugu za afya na vigezo vingine vya hatari kwa matokeo mabaya kutokana na maambukizi ya pumu.

Inglés

as of march 28, 2020, u.s. states and territories have reported 122,653 u.s. covid-19 cases to cdc, including 7,162 (5.8%) for whom data on underlying health conditions and other known risk factors for severe outcomes from respiratory infections were reported.

Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Se han ocultado algunas traducciones humanas de escasa relevancia para esta búsqueda.
Mostrar los resultados de escasa relevancia para esta búsqueda.

Obtenga una traducción de calidad con
7,791,659,367 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo